Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda huu nipo ndani ya basi la Abood naelekea Moro ajabu huyu bwana kaweka picha ya mavitisho tisho tu mara mziki ule wa Pepe kale ule wa vimbilikimo!Yaani ni tabu tupu!
Naomba namba ya trafiki ni wajuze tafadhali.

Km ulikuwepo!Mabasi ya Abood ifikapo mida ya jioni huwa wanakimbiza mabasi vibaya sana, maana wanajua mida hiyo hakuna matochi barabarani! Halafu mabati mengi ya mikoani Siku hizi wanakasumba ya kuwawekea abiria video Kwa sauti kubwa ili kuwazuga abiria wasistukie mwendo kasi wanaoendesha! Buyer beware!
Kulala watalala mtambaswala au msijute.utakuwa umekosea route umepanda abood ya mtwara kupitia nanjilinji, mtalala nanguruwe dinner mtakula nakapanya, SAFARI NJEMA
I see kama hamjavuka kibiti hadi saa hii itabidi mlale mbagala, mtafika keshokutwa asubuhiTutafika lini?!
Kuna sehemu huku kusini inaitwa hivyo nisahihishe tu mkuu Kama nimekosea hilo jina.Mtambaswala?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mda huu nipo ndani ya basi la Abood naelekea Moro ajabu huyu bwana kaweka picha ya mavitisho tisho tu mara mziki ule wa Pepe kale ule wa vimbilikimo!Yaani ni tabu tupu!
Naomba namba ya trafiki ni wajuze tafadhali.
[emoji38] [emoji38]Mda huu nipo ndani ya basi la Abood naelekea Moro ajabu huyu bwana kaweka picha ya mavitisho tisho tu mara mziki ule wa Pepe kale ule wa vimbilikimo!Yaani ni tabu tupu!
Naomba namba ya trafiki ni wajuze tafadhali.