Huyu Dogo naye rasmi kwa wajenzi huru!

Huyu Dogo naye rasmi kwa wajenzi huru!

Watu bongo wanapigwa sana kwa kukosa maarifa

Hizi secret cults (kama zipo) hazifanyi huu ujinga wa kujipiga piga picha ovyo, naona siku izi insta eti watu Wanapewa maburungutu ya hela eti nendeni mzitumie vizuri msivunje masharti, kiufupi Kuna wajinga wanatafutwa wapigwe, na ndo maana kina chief goodlove hawakosi hela ya kula maana wanawapiga sana wajinga
Hayo mawazo uliyonayo wanayo watanzania 5/100.
 
Asilimia kubwa Yao Wala hawana ufahamu na hawajui chochote kuhusu Chama chao zaidi ya basics tu, only few ndo wana ufahamu na kuijua taasisi vizuri, taasisi zote hizo ziitwazo 'secret societies' zimewaziba macho kundi kubwa la watu wao yaani kama vile mfano wa pyramid, ile 'cap' ya juu kabisa ndiyo inayoijua taasisi nje ndani, wengine ni 'pawns' tu na ukichukulia zaidi lugha ya alama ilivyo ngumu basi only smart people upstairs ndo huwa kule juu kukufanyia wewe maamuzi na kukwambia kidogo tu unachopaswa kukikariri, elimu na maarifa ya uhakika yapo juu kwenye 'cap' kulee na ipo Kwa wachache wanaoitwa smart vichwani.

NB. Watu wengi wakarimu, wacheshi nk mbele za watu, ni wachafu wazuri sana.
 
Back
Top Bottom