Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Huyo dogo sindio aligongewa demu wake na Harmonize kisha akaachwa akapagawaga kabisa hata mziki 😁😁😁 nadhani toka atoe ngoma yake ya sarafina sijaskia hit yeyote hadi leo.
Japo niliona kasamehewa na demu wake sahizi wamerudiana. Huu ni ujinga anaoweza baba levo na yeye tu wa kutafta huruma za kike.
Japo niliona kasamehewa na demu wake sahizi wamerudiana. Huu ni ujinga anaoweza baba levo na yeye tu wa kutafta huruma za kike.