Huyu Dogo naye rasmi kwa wajenzi huru!

Hayo mawazo uliyonayo wanayo watanzania 5/100.
 
Asilimia kubwa Yao Wala hawana ufahamu na hawajui chochote kuhusu Chama chao zaidi ya basics tu, only few ndo wana ufahamu na kuijua taasisi vizuri, taasisi zote hizo ziitwazo 'secret societies' zimewaziba macho kundi kubwa la watu wao yaani kama vile mfano wa pyramid, ile 'cap' ya juu kabisa ndiyo inayoijua taasisi nje ndani, wengine ni 'pawns' tu na ukichukulia zaidi lugha ya alama ilivyo ngumu basi only smart people upstairs ndo huwa kule juu kukufanyia wewe maamuzi na kukwambia kidogo tu unachopaswa kukikariri, elimu na maarifa ya uhakika yapo juu kwenye 'cap' kulee na ipo Kwa wachache wanaoitwa smart vichwani.

NB. Watu wengi wakarimu, wacheshi nk mbele za watu, ni wachafu wazuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…