Huyu Don ni nani?

Si wicknell huyo jombaa, tajiri sana zimbambwe
Wicknell kijana mmoja aliezaliwa katika hali ya umasikini amesoma na kuacha shule akiwa form 2 kisha kuingia mtaani na kuanza kuchuuza machinga mama yake akiwa mfanyabiashara wa kuvusha bidhaa kutoka SA to Zimbabwe

Wicknell alikua na tabia ya wiziwizi hii ni kwa mujibu ya wale aliosoma nao shule moja toka shule ya msingi mpaka sekondari, kijana Wicknell ameshafikishwa sana mahakamani kwa kesi za kuibia makampuni ila cha ajabu kesi nyingi amekua akishinda na kutokomea na pesa hizo bila kufanywa chochote
 
Sawa na huyu tu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…