Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni DonWana jf wenzangu swali ni moja tu huyo Don ni nani? 😂😂
Cha ajabu woote mmetiririkia mwili wa jamaa. Lol
Wa wapi?Ni Don
Wa DodomaWa wapi?
TehWa Dodoma
Wajirekebishe kwa kweli 🤣Wana jf wenzangu swali ni moja tu huyo Don ni nani? 😂😂
Cha ajabu woote mmetiririkia mwili wa jamaa. Lol
Ni Wicknell Chivayo anapiga dili za zabuni na serikali yaaani ni Lugumi wa huko.
Wicknell kijana mmoja aliezaliwa katika hali ya umasikini amesoma na kuacha shule akiwa form 2 kisha kuingia mtaani na kuanza kuchuuza machinga mama yake akiwa mfanyabiashara wa kuvusha bidhaa kutoka SA to ZimbabweSi wicknell huyo jombaa, tajiri sana zimbambwe
Kutunza afya ni kufanyaje? Kwani hapo hana afya? Kwako wewe kutunza afya ni kutinda nyusi au kama ufanyavyo na rafiki yako min -me au 🤣🤣🤣🤣?Una hela kibao lakini unashindwa kutunza afya yako, ni huzuni.
Au labda ana ugonjwa flani wa ajabu.
Sawa na huyu tuWicknell kijana mmoja aliezaliwa katika hali ya umasikini amesoma na kuacha shule akiwa form 2 kisha kuingia mtaani na kuanza kuchuuza machinga mama yake akiwa mfanyabiashara wa kuvusha bidhaa kutoka SA to Zimbabwe
Wicknell alikua na tabia ya wiziwizi hii ni kwa mujibu ya wale aliosoma nao shule moja toka shule ya msingi mpaka sekondari, kijana Wicknell ameshafikishwa sana mahakamani kwa kesi za kuibia makampuni ila cha ajabu kesi nyingi amekua akishinda na kutokomea na pesa hizo bila kufanywa chochote
Ni kuvaa miwani😀😀😀Mkuu kutunda nyusi ndio kufanya nini
Anawatukana wasomi wa Zimbabwe km Dotto Magari kisa aliacha shule akiwa form 2 kwa hio hajasoma ni Dude fulani hivi ndani ya Jiji la HarareNi Wicknell Chivayo anapiga dili za zabuni na serikali yaaani ni Lugumi wa huko.
😁 I'd kibao masterNi kuvaa miwani😀😀😀
Afya bora ni ipi? Kwani hapo anaumwa? Mna mitazamo ya kimaskini sana nyie.Pesa keshazipata atafute afya bora sasa
Huyo simjui
Hahaaaaaa😁 I'd kibao master
Dogo kashaibia sana Wazungu huko Zimbabwe ndio kujitajirisha hivyoAfya bora ni ipi? Kwani hapo anaumwa? Mna mitazamo ya kimaskini sana nyie.