PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
LIKUD nimekulia na kusoma kinondoni na huyu dotto namfahamu Hadi nyumbani kwao pale kinondoni Muslim mtaa wa Brazil..
Dotto alikuwa Pacha na ndugu yake aliyefariki akiwa mdogo pia dotto alikuwa Teja na mpiga Debe pale kituo cha kinondoni - posta.
Amevuta unga na kuuza unga Kwa miaka mingi Sana na Toka zamani kipindi yupo kwenye madawa alikuwa machachari hivyohivyo unavyomuona , kipindi hicho alikuwa anajiita MSEVENI hili jina linajulikana Sana ukifika pale mitaa ya wibu,sekenke,Togo na ufipa Hadi kinondoni shamba..shule ya msingi kasoma hananasif na huyu mzaramo mwenzako wala usimkatae