King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kuna miaka fulani nlikuwa na coaster route ya posta mwananyamala alinioigia sana debe,alikuwa msumbufu sana,uwizi,uteja
Haya mambo ya uchawa upambe alikuja kuingia alipoingia kwenye udalali wa magari pale nyuma ya mwanamboka na si unajua jamaa anaongea sana kwa hiyo wakina sawe na mapedeshe wengine wakawa wanapenda kampani yake
Ila dotto alikuwa kama mnyama teja,anakaba nk
Kuna wakati alikula kipondo nusu ya kufa aise
Ila all in all watu wanabadilika aise,na alipo3nda jela tu ndy unga akauacha
Wenzie wengi walishatangulizwa mbele ya haki
Ova
Daaah amepitia magumu sana acha apige MAOKOTO anastahili.