Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha woga dogo huyo ni mchizi wangu kinyama wala hana mambo mengi.Nyuzi na maoni ninayotoa huwa yanafuatiliwa kwa karibu na huyu Extrovert sijui lengo lake ni nini isije ikawa ni mzee wa Nissan Nyeupe.
unamzungumzia mzee wa vi-pinchExtrovert Ni mtu mmoja mcheshi sana afu Yuko bomba Sana humu jf[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta ngumunyuzi za siku hizi laini sana
Huyu wa kugawa like bila shaka ni yule Bonafide genuine a.k.a kura moja, wajumbe siyo watu.Kila mtu anajiunga JF kwa interest zake, kuna yule jamaa wa kugawa LIKE kila post na kuna Extrovet na yeye ana ya kwake, wengine ni waanzisha nyuzi ndefuuu, wengine wanapenda kukomenti kila post, wengine wanapenda kukosoa kila post ili mradi tu apunguze stress zake aifurahishe nafsi yake, kuna yule mmoja kila mwanamke kampitia, yule mwingine Kasinde yeye ana mambo yake, basi raha tu
AiseeeeeeHuyu wa kugawa like bila shaka ni yule Bonafide genuine a.k.a kura moja, wajumbe siyo watu.
Ni Polisi Asilimia 560938302739 kampooze yaishe vinginevyo ,Utashtakiwa kwa kosa la kumfuatilia na kumuingilia ktk wajibu wake kikazi JfNyuzi na maoni ninayotoa huwa yanafuatiliwa kwa karibu na huyu Extrovert sijui lengo lake ni nini isije ikawa ni mzee wa Nissan Nyeupe.