Huyu fundi wa hizi sarakasi ni nani?

Huyo siro kauli tu ya makonda alikuwa anatekeleza ka mjinga flani I wonder hii ya Waziri. Siro ajistaafie tu kwa heshima uu U Igp
Sirro hakubaliani na hayo machanjo! Hayuko upande wa support ukiona hivyo, angekuwa huko basi Gwajima angeamkia seloπŸ˜‚ kwa kifupi hii vita haina maslahi kwake!
 
Sirro gwajiboy wanadharau wanawake wamezoea huko kwao kutesa wanawake
Msijishushe, huyu mama kwanza hana adabu, haikuwa na sababu kumtemea mbovu Gwaji hadi kutaja mambo ya ngono na kukandia imani yake. Sngesema tunsmuhitaji athibitishe hiyo rushwa.
Msijifiche kwenye kivuli cha mwansmke...subirini spana j2[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lazma ataliamsha dude yule msukuma hawez kumuacha mama ashinde kizembe[emoji23]
Atafunua hadi ya gizani tusiyoyajua...na atampa onyo kuwa akirudia atamalizia kupasua jipu.....Gwajiboy aka Rashid ni shida, Pengo anamjua, na Makonda skimkumbuka anahisi kuharisha[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Uko right mkuu,inaonesha maisha ya SSH yataishia ingwe hii hii tu,masalia yaliyobaki ya mwendazake yanajaribu kurudisha kiti kwenye himaya yao...masalia ambayo hayana matumaini kwa mtanzania kama ilivyo Taliban kwa wa Afghanistan[emoji3525]
 
Atafunua hadi ya gizani tusiyoyajua...na atampa onyo kuwa akirudia atamalizia kupasua jipu.....Gwajiboy aka Rashid ni shida, Pengo anamjua, na Makonda skimkumbuka anahisi kuharisha[emoji28][emoji28][emoji28]
Gwajiboy ana mafolder yake lazma anayachambua ili Jpili amfanye kitu hakunaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mama kakanyaga waya wa speaker ya disco!
 
Simple, vita hii haina maslahi wala haigusi maslahi yake kama IGP
 
Acheni kumtetea huyo gwajma mzinzi anayedaganya watu kuhusu coronavirus na anajifanya eti hagusiki Dorothy alikuwa sahihi aende kwa mkemia kudhibitisha kuhusu madai yake, no research no rights to speak, na hayo ya mkono wa baunsa ilikuwa utetezi wake, kufufua watu na kukataa ubunge lakini Leo yuko bungeni. Gwajima ni mhuni tu ka wahuni wengine nashangaa ccm inachekea ujinga wake wasipo mshughulikia mapema atawanyoosha nchi hii wajinga wengi
 
Sirro hakubaliani na hayo machanjo! Hayuko upande wa support ukiona hivyo, angekuwa huko basi Gwajima angeamkia selo[emoji23] kwa kifupi hii vita haina maslahi kwake!
Sirro ana mfumo dume flani hata mkoa anaotoka huwa Wana dharau wanawake pia hana cha kupoteza maana karibia astaafu. Mimi sijawahi ona insubordination ka ya wakati huu, Wana mwona Rais ni dhaifu na wana machungu ya mwendazake hao
 
Hahahhaha raisi ni dhaifu sio siri! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Gwajiboy ana mafolder yake lazma anayachambua ili Jpili amfanye kitu hakuna[emoji23][emoji23][emoji23] mama kakanyaga waya wa speaker ya disco!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
cariha
 
Hahahhaha raisi ni dhaifu sio siri! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mtu yuko fair akiamua kutumia madaraka yake kikatiba watu wataanza kulia na kusema ni dictator, hata gwajima askofu anajiropokea Ili akichukuliwa hatua ajifiche kwenye kichaka Cha udini kuwa anaonewa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
cariha
Hana jipya huyo mnamkuza tu mbona yeye video yake iko kwenye porn site huko duniani yet anajifanya mchungaji
 
Gwajiboy ana mafolder yake lazma anayachambua ili Jpili amfanye kitu hakuna[emoji23][emoji23][emoji23] mama kakanyaga waya wa speaker ya disco!
Kuwa na mafolder sio tija hata yeye watu Wana yake na isiwe excuse ya kudaganya umma apeleke ushahidi kwa mkemia na kudhibitisha kuwa Rais alipokea chanjo fake kweli.
 
Ni mtu yuko fair akiamua kutumia madaraka yake kikatiba watu wataanza kulia na kusema ni dictator, hata gwajima askofu anajiropokea Ili akichukuliwa hatua ajifiche kwenye kichaka Cha udini kuwa anaonewa
Tangu lini Gwajiboy huwa analialia?
 
Hana jipya huyo mnamkuza tu mbona yeye video yake iko kwenye porn site huko duniani yet anajifanya mchungaji
Kwa usomi wako wote hukung'amua kuwa hilo ni tukio la kutengeneza?
 
Ni mtu yuko fair akiamua kutumia madaraka yake kikatiba watu wataanza kulia na kusema ni dictator, hata gwajima askofu anajiropokea Ili akichukuliwa hatua ajifiche kwenye kichaka Cha udini kuwa anaonewa
Hakuna u fair wowote! Watoto hawawezi haribu mpangilio wa sebule we umejikalisha kimya wakati unajua kifuatacho watavunja vyombo halafu ujisemee eti wanangu nawapenda waache wacheze huo ni upunguaniπŸ˜‚
 
Hakuna u fair wowote! Watoto hawawezi haribu mpangilio wa sebule we umejikalisha kimya wakati unajua kifuatacho watavunja vyombo halafu ujisemee eti wanangu nawapenda waache wacheze huo ni upunguani[emoji23]
Kila kitu timing even kikwete was fair watu wakamwita dhaifu na sio kila kelele uhangaike nazo na kuzipa uzito, sometimes ku avoid distractions za watu ka gwajima na ujinga wao maana wanataka wachukuliwe hatua wapate sababu, ningekuwa Mimi na Hilo kanisa nalifuta usajili wake kabisa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahio kanisa ukilifuta unapata relief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…