Huyu Gentamycine wa JF ni nani haswa?

Nitafurahi sana mkuu, uandishi wako na paskali nimeupenda. Ni kwa mazuri tuu nataka tuonane

Akhsante na usijali Mkuu ipo siku tu utaniona au tutaonana. Nimefurahi pia kunipongeza Mimi na ' Kamarada ' wangu ' Kitasnia ' Kaka yangu na mkubwa wangu katika ' Fani ' Pascal Mayalla ambaye hata Mimi bado naona sijamfikia Kiuandishi na bado najifunza mengi kutoka Kwake. Namkubali mno Kaka yangu huyo Paskali.
 
Nimekuelewa sana ndugu, hata Mimi nimepokea kashfa kuhusu Uzi huu na nashukuru kuja humu ujue natamani sana uandishi wako na kama binadamu naamini ipo siku tutakutana. Pia humu kuna watu wakiona unataka umwone member mwenzio wanajua una nia mbaya.
 
Maneno kuntu mkuu, watakubalikaje ilihali hawaonekani
 
Wamekuelewa mkuu
 
Nimekuelewa sana ndugu, hata Mimi nimepokea kashfa kuhusu Uzi huu na nashukuru kuja humu ujue natamani sana uandishi wako na kama binadamu naamini ipo siku tutakutana. Pia humu kuna watu wakiona unataka umwone member mwenzio wanajua una nia mbaya.

Usijali Mkuu na utawazoea tu kama ambavyo Mimi nimewazoea. Siku zote Mti wenye matunda mazuri ndiyo hupigwa sana mawe. Labda kujibu tu maswali yako ni kwamba Kwanza kabisa sipo huko TISS kama ambavyo umehisi na ninavyojijua mwenyewe sina hata sifa ya chembe ya Mimi kuwa huko na wenyewe Watu wa TISS wanalijua hilo.

Kwenye suala Habari na Mawasiliano na Mimi kupenda sana ' Kujichanganya ' na ' Kutafiti ' masuala mbalimbali ya Kidunia na kufanya ' analysis ' umepatia kwa 100%. Nadhani nitakuwa nimejibu maswali yako Mkuu.

Akhsante na karibu sana.
 
Gentamicin, sold under brand names Garamycin among others, is an antibiotic used to treat several types of bacterial infections. This may include bone infections, endocarditis, pelvic inflammatory disease, meningitis, pneumonia, urinary tract infections, and sepsis among others.
 
Asante kwa ufafanuzi mujarabu
 
go take ur time dude....maneno mengi point ziro, hakuna asokujua humu
 
gentamycine ni dawa maarufu sana kwa sisi watu wa kada ya afya tunafanyia mahospitalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…