Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Mke uyoo njoo unipikie acha kushinda jamii forum[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...akhsanta demu wangu!
..umelalwaje lakini
Wewe hujui unazani utampongeza anae jua siku zote nyani ni nyani hata astaarabike kwa mavazi ni nyani tu hivyo ww ni nyani.Ni fala mmoja ivi anaejifanya anajua kila kitu
Nyani ana miguu mingapi??Wewe hujui unazani utampongeza anae jua siku zote nyani ni nyani hata astaarabike kwa mavazi ni nyani tu hivyo ww ni nyani.
Miwili aseeNyani ana miguu mingapi??
Ni fala mmoja ivi anaejifanya anajua kila kitu
Umebadilika kaka angu au ndio mwaka mpya sipati picha angekuta enzi zakoAkhsante na kama kuna ' Tusi ' jingine ulilolibakisha naomba unitukane tafadhali.
Umebadilika kaka angu au ndio mwaka mpya sipati picha angekuta enzi zako
Nakuombea sana,ule msemo shetani akizeeeka........ubarikiwe gentamycineNi kweli Dada yangu nimeamua makusudi kabisa kubadilika na mwaka huu wa 2018 niwe GENTAMYCINE mpya kabisa ambaye situkani ila nitakuwa mvumilivu wa matusi / kutukanwa. Ni kweli kabisa huyo Jamaa angenikuta zile enzi zangu nina uhakika sasa hivi ' moto ' ungekuwa unawaka hapa ila ' Malaika ' aliyenitembelea mwaka huu ni mzuri mno na namwomba azidi kuwa nami na nisije nikamtukana Member yoyote humu.
Nakuombea sana,ule msemo shetani akizeeeka........ubarikiwe gentamycine
Huwa nakuelewa nyie ni wachache wa kuwatafuta tumeane machacheAkhsante.
Yatakuja mbele ya safari, wewe jaribu kuzingua tuAkhsante na kama kuna ' Tusi ' jingine ulilolibakisha naomba unitukane tafadhali.
Na wewe una miguu mingapi??Miwili asee
Yatakuja mbele ya safari, wewe jaribu kuzingua tu
Hallelujah Mungu aendelee kukubadilisha watashindana lakini hawatashindaNi kweli Dada yangu nimeamua makusudi kabisa kubadilika na mwaka huu wa 2018 niwe GENTAMYCINE mpya kabisa ambaye situkani ila nitakuwa mvumilivu wa matusi / kutukanwa. Ni kweli kabisa huyo Jamaa angenikuta zile enzi zangu nina uhakika sasa hivi ' moto ' ungekuwa unawaka hapa ila ' Malaika ' aliyenitembelea mwaka huu ni mzuri mno na namwomba azidi kuwa nami na nisije nikamtukana Member yoyote humu.