Huyu Gentamycine wa JF ni nani haswa?

Huyu Gentamycine wa JF ni nani haswa?

Ni fala mmoja ivi anaejifanya anajua kila kitu
 
Umebadilika kaka angu au ndio mwaka mpya sipati picha angekuta enzi zako

Ni kweli Dada yangu nimeamua makusudi kabisa kubadilika na mwaka huu wa 2018 niwe GENTAMYCINE mpya kabisa ambaye situkani ila nitakuwa mvumilivu wa matusi / kutukanwa. Ni kweli kabisa huyo Jamaa angenikuta zile enzi zangu nina uhakika sasa hivi ' moto ' ungekuwa unawaka hapa ila ' Malaika ' aliyenitembelea mwaka huu ni mzuri mno na namwomba azidi kuwa nami na nisije nikamtukana Member yoyote humu.
 
Nakuombea sana,ule msemo shetani akizeeeka........ubarikiwe gentamycine
 
Ni kweli Dada yangu nimeamua makusudi kabisa kubadilika na mwaka huu wa 2018 niwe GENTAMYCINE mpya kabisa ambaye situkani ila nitakuwa mvumilivu wa matusi / kutukanwa. Ni kweli kabisa huyo Jamaa angenikuta zile enzi zangu nina uhakika sasa hivi ' moto ' ungekuwa unawaka hapa ila ' Malaika ' aliyenitembelea mwaka huu ni mzuri mno na namwomba azidi kuwa nami na nisije nikamtukana Member yoyote humu.
Hallelujah Mungu aendelee kukubadilisha watashindana lakini hawatashinda
 
Back
Top Bottom