Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #41
Ningetamani Gentamycine ajitokeze mwenyewe ila naona anakulatu chabo sehemu akitusikiliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau habari zenu.
Twende moja kwa moja kwenye mada. Huyu Gentamycine amekuwa mwandishi mahiri huku JF mwenye hoja motomoto. Lakini pia hatabiriki vizuri na vigumu kumuelewa msimamo wake kwa sasa.
Huyu mimi nafikiri ni jasusi wa TISS, Mwandishi habari makini, au kiongozi serikalini au mtu wa kawaida vijiweni aliyesoma kiasi Fulani na hupenda kujichanganya sana.
Je wewe mwenzangu unamwonaje mtu huyu?
Hii nayo ni ID yakeNingetamani Gentamycine ajitokeze mwenyewe ila naona anakulatu chabo sehemu akitusikiliza.
Ni matapeli wa TMT hao
Ningependa tukutane, namadmire sana.
Akikujibu naomba ' unitagi ' Mkuu.
umeamua kujifungulia uzi mwenyewe na kujisifia ? kweli multiple IDs hazijawahi kumuacha mtu salama....
huyo unaemsifia ambaye ni wewe ni ndezi tu
Ni mwanafunzi wa form twoWadau habari zenu.
Twende moja kwa moja kwenye mada. Huyu Gentamycine amekuwa mwandishi mahiri huku JF mwenye hoja motomoto. Lakini pia hatabiriki vizuri na vigumu kumuelewa msimamo wake kwa sasa.
Huyu mimi nafikiri ni jasusi wa TISS, Mwandishi habari makini, au kiongozi serikalini au mtu wa kawaida vijiweni aliyesoma kiasi Fulani na hupenda kujichanganya sana.
Je wewe mwenzangu unamwonaje mtu huyu?
Ningetamani Gentamycine ajitokeze mwenyewe ila naona anakulatu chabo sehemu akitusikiliza.
Wadau habari zenu.
Twende moja kwa moja kwenye mada. Huyu Gentamycine amekuwa mwandishi mahiri huku JF mwenye hoja motomoto. Lakini pia hatabiriki vizuri na vigumu kumuelewa msimamo wake kwa sasa.
Huyu mimi nafikiri ni jasusi wa TISS, Mwandishi habari makini, au kiongozi serikalini au mtu wa kawaida vijiweni aliyesoma kiasi Fulani na hupenda kujichanganya sana.
Je wewe mwenzangu unamwonaje mtu huyu?
Nitafurahi sana mkuu, uandishi wako na paskali nimeupenda. Ni kwa mazuri tuu nataka tuonaneAsante Mkuu na usijali ipo siku tutaonana tu.