PostGE2025 Huyu hapa anadai eti Mama Abduli alisikitishwa, na alilia, kutokana na mauaji ya OCT 29

PostGE2025 Huyu hapa anadai eti Mama Abduli alisikitishwa, na alilia, kutokana na mauaji ya OCT 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Vituo vingapi vya mwendokasi vilichomwa mkuu , stand ngapi unazozijua zilichomwa ? na je una picha za waandamanaji waliopora silaha na kuanza ku resist na police nikipata hata za watu wanne walipora nitakuelewa hoja yakoo
yale yalikuwa majambazi ya kuyaua kabisa tena kwa risasi tatu tatu, majibwa kabisa
 
yale yalikuwa majambazi ya kuyaua kabisa tena kwa risasi tatu tatu, majibwa kabisa
Sishabikii mauwaji ya waandamanaji shishabikii waandamanaji kuchoma vitu ova kama maandamano kikatiba ni halali why maandamano watu wauwawe ? Si kifungu kifutwe kama katiba ni kitabu tu aliyepo Sasa hastahili over
 
..Mama alichukua ushauri mbaya kutoka hadharani na kutokulaani mauaji.

..Hakuna aliyemtaka kutoka hadharani na kupiga wayowe na kulia.

..Lakini alipaswa kuwa upande wa walioumia zaidi. Upande wa waliopoteza maisha.

..Kuna tofauti kati ya kutokuonyesha udhaifu, na kuonyesha kukosa ubinadamu.
Nimekuelewa umeiweka vzuri
 
Back
Top Bottom