Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Hivi ni Nini kinachowatoa utu kiasi hicho nyie maCcm....Huko Ufaransa vituo vingapi vya polisi vimechomwa moto?
Hivi ni Nini kinachowatoa utu kiasi hicho nyie maCcm....Huko Ufaransa vituo vingapi vya polisi vimechomwa moto?
We uje kutaka kunikata kidole kwa sababu nimepiga kura unafikiri nitakuacha, nakukata hiyo yako, waliouwawa ni magaidi waliotaka kuvuruga nchiHivi ni Nini kinachowatoa utu kiasi hicho nyie maCcm....
...Sasa hebu fikiria njaa walizokuwa nazo wapinzani, na Watanganyika, hilo bulungutu halitoshi kumlainisha kila mtu
Hata kumwita uyo mtu Mama napo kunachefua🚮..Mama alichukua ushauri mbaya kutoka hadharani na kutokulaani mauaji.
..Hakuna aliyemtaka kutoka hadharani na kupiga wayowe na kulia.
..Lakini alipaswa kuwa upande wa walioumia zaidi. Upande wa waliopoteza maisha.
..Kuna tofauti kati ya kutokuonyesha udhaifu, na kuonyesha kukosa ubinadamu.
Ivi kama ndugu yako wa dam au mtu wako wakaribu angeuwawa iyo siku na samuya ungetapika kwel ayo maneno yako...????🚮🚮Huko ufaransa walikufa polisi wangapi, oct 29 watu wanavamia vituo vya polisi, kuua polisi na kuiba silaha, ulitaka wafanywe nini?
Mpumbavu wewe koma kabisa na wimbo wenu huuHakukuwa na maandamano, acha kupotosha, bali kulikuwa na watu waliojiandaa kufanya vurugu na machafuko, vituo vya mafuta, stendi za mwendokadi, vituo vya polisi , vituo vya kupigia kura vilichomwa na nani? Unavamia kituo cha polisi na kukichoma moto ulitaka wachekewe tu, ni nchi gani duniani ingekubali hilo?
Uliwaona polisi waliouawa?Huko ufaransa walikufa polisi wangapi, oct 29 watu wanavamia vituo vya polisi, kuua polisi na kuiba silaha, ulitaka wafanywe nini?
Heee, Zungu amekuwa msemaji wa familia! Makubwa hayo...Spika Zungu anadai Mama alisikitishwa na mauaji.
..Na kwamba alilia kwa uchungu watu kupoteza maisha.
..Sasa sijui yeye alimuona, au alisimuliwa.
..Na bahati mbaya ni kwamba alipolihutubia taifa hakuonyesha kusikitika, wala kujutia mauaji yale.
..Vilevile wapambe wake wamejaribu kila namna kuhalalisha mauaji yale. Lakini haiwezekani kuyahalalisha kwani waliuwawa mpaka WATOTO.
..VIDEO INAKUJA.
Nasubiri Video..Spika Zungu anadai Mama alisikitishwa na mauaji.
..Na kwamba alilia kwa uchungu watu kupoteza maisha.
..Sasa sijui yeye alimuona, au alisimuliwa.
..VIDEO INAKUJA.
Ulichoandika unakijua au umeandika kwa ushabiki?Kipindi cha kupiga kura kuna mikoa mingi tu hali ilikuwa shwari kwa sababu hakukuwa na vurugu. Njombe,Kilimanjaro, Tanga, Lindi ,Mtwara ni nani aliumizwa kwenye uchaguzi?
Ingekua vema wangekamatwa na kushtakiwa kisheria then wafungwe, nadhan katiba inasema ivo haisemi mtu akimdhur mwingne auwawe apoapoNa raia waliokatwa vidole kwa kupiga kura hawana thamani sio? Hao waliokuwa wanakata raia vidole ulitaka wachekewe sio, ulitaka nchi nzima watu wawe na vilema vya kukatwa vidole na hao wahuni?
Sawa mkuuHao wazazi kwa nini watoto wao walileta vurugu, ujue hata majambazi wana wazazi,ni matokeo ya malezi mabaya ya wazazi
Ile ya mwanzo kabisa akiapishwa..ile hotuba ya " who are you...?"
..au ile aliyowalaumu wazazi?
Shoot to kill au sio?Maua watu Hadi vinanda umiza,maua watoto kwa akina mama!Hakukuwa na maandamano, acha kupotosha, bali kulikuwa na watu waliojiandaa kufanya vurugu na machafuko, vituo vya mafuta, stendi za mwendokadi, vituo vya polisi , vituo vya kupigia kura vilichomwa na nani? Unavamia kituo cha polisi na kukichoma moto ulitaka wachekewe tu, ni nchi gani duniani ingekubali hilo?
Damu za watu zaidi ya 10'000 za Watanganyika zilimwagwa kwa amri ya mwanamke wa Kizanzibari..Spika Zungu anadai Mama alisikitishwa na mauaji.
..Na kwamba alilia kwa uchungu watu kupoteza maisha.
..Sasa sijui yeye alimuona, au alisimuliwa.
..Na bahati mbaya ni kwamba alipolihutubia taifa hakuonyesha kusikitika, wala kujutia mauaji yale.
..Vilevile wapambe wake wamejaribu kila namna kuhalalisha mauaji yale. Lakini haiwezekani kuyahalalisha kwani waliuwawa mpaka WATOTO.
..VIDEO INAKUJA.
Capital hill 2021,umati wote ule walikufa watu watano,mmoja kwa kupigwa risasi na wengine kutokana na purukushani!Huko ufaransa walikufa polisi wangapi, oct 29 watu wanavamia vituo vya polisi, kuua polisi na kuiba silaha, ulitaka wafanywe nini?
Kama haitoshi,anaendelea kuteka,kuua au kubambikizia kesi watanganyika!Damu za watu zaidi ya 10'000 za Watanganyika zilimwagwa kwa amri ya mwanamke wa Kizanzibari
ALIWATANGULIZA YALE MAJAMBAZI YALIYOKUWA YANACHOMA VITUO VYA POSIBI NA MABASI YA WATU MASHENZI KABISA, MTU HANA HATA BAISKELI ANACHOMA BASI LA MTU? UNAIBA KWA SHILOLE UNAJIITA MUANDAMANAJI? PIGA RISASI SHENZI KABISABi chura anatumia hisia badala ya akili kuendesha nchi
sasa rais gani unauwa wananchi wako waliokupigia kura kwa 98%
ameuwa raia ovyo ovyo bila kujali nani ni nani
huyu maza ni pimbi empty head!