PostGE2025 Huyu hapa anadai eti Mama Abduli alisikitishwa, na alilia, kutokana na mauaji ya OCT 29

PostGE2025 Huyu hapa anadai eti Mama Abduli alisikitishwa, na alilia, kutokana na mauaji ya OCT 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nikusahihishe tu, Oct 29 hakukuwa na maandamano, bali kulikuwa na kikundi cha watu waliokuwa wanashambulia wapiga kura, kuchoma moto vituo vya kupigia kura, vituo vya mwendokasi na vituo vya mafuta, sheria ya maandamano ya raia inasema unapotaka kuandamana, lazima upate kibali cha polisi, oct 29 kuna kibali chochote cha maandamano kilichotolewa? Na nchi gani maandamano yanafanyika siku ya kupiga kura, oct 29 hakukuwa na maandamano, kulikuwa na magaidi waliotaka kuchoma na kuvuruga nchi
Kukataa ukweli na kujidanganya kwamba hakukuwa na maandamano hakutatusaidia kitu zaidi zaidi tunatengeneza kitu ambacho matokea yake mbeleni yanaweza kutushangaza wote,ukweli ni kwamba kulikuwa maandamano ya kiraia yaliyoambatana na vurugu ambayo raia walikuwa na madai yao.Hivyo yatupasa kushughulika na madai ya raia ambayo ndio chanzo cha hayo maandamano yenye vurugu.Kukataa ukweli na kutegemea utamaliza tatizo ni kujidanganya.
 
Wale watoto waliokuwa wanatazama EPL walikuawawa kwa kosa gani!
Kama kuna watoto waliuwawa ilikuwa ni bahati mbaya tu kama vile Israel inavyowauwa watoto huko gaza kwa bahati mbaya.Na wapiga kura waliokatwa vidole, walikatwa kwa sababu gani?
 
Kukataa ukweli na kujidanganya kwamba hakukuwa na maandamano hakutatusaidia kitu zaidi zaidi tunatengeneza kitu ambacho matokea yake mbeleni yanaweza kutushangaza wote,ukweli ni kwamba kulikuwa maandamano ya kiraia yaliyoambatana na vurugu ambayo raia walikuwa na madai yao.Hivyo yatupasa kushughulika na madai ya raia ambayo ndio chanzo cha hayo maandamano yenye vurugu.Kukataa ukweli na kutegemea utamaliza tatizo ni kujidanganya.
We kabla ya oct 29 ulikuwa na taarifa ya uwepo wa maandamano, kwa mfano dar yalikuwa yanaanzia wapi na kuishia wapi?
 
..Spika Zungu anadai Mama alisikitishwa na mauaji.

..Na kwamba alilia kwa uchungu watu kupoteza maisha.

..Sasa sijui yeye alimuona, au alisimuliwa.

..Na bahati mbaya ni kwamba alipolihutubia taifa hakuonyesha kusikitika, wala kujutia mauaji yale.

..Vilevile wapambe wake wamejaribu kila namna kuhalalisha mauaji yale. Lakini haiwezekani kuyahalalisha kwani waliuwawa mpaka WATOTO.

..VIDEO INAKUJA.
Kuna kulia kwa uchungu na kububujikwa machozi ya furaha.Huyo mwarabu koko sijui muhindi anayejiita "zungu" alishindwa kutofautisha?
 
We kabla ya oct 29 ulikuwa na taarifa ya uwepo wa maandamano, kwa mfano dar yalikuwa yanaanzia wapi na kuishia wapi?
Sikuwa na taarifa ya maandamano zaidi ya kuona mitandaoni watu wakidai kwamba wataandamana na pia polisi wakitoa taarifa za kukutaza maandamano hayo.Sikujua maandamano yameanzia wapi na yameishia wapi, napo pia niliona kupitia mitandao watu wakiandamana maeneo ya Ubungo kabla mitandao haijazimwa.Na kwa kuongezea tu uvunjifu wa sheria kwa waandamanaji hauhalalishi Polisi nao kuvunja sheria wakati wanakabiliana nao mpaka kupelekea mauaji ya watu wengi vile.
 
Baada ya mauaji ile hotuba yake ya mwanzo ilionesha dhahiri yale mauaji yamemuumiza sana na hakutarajia kuwa vile….ila baada ya kuibuka tena…khaa,Ilikuwa ni kauli za kuumiza mioyo ya wazazi tu…sijui washika serikali wenyewe walimshauri asioneshe udhaifu au ni yeye tu alivyo😢

..ile hotuba ya " who are you...?"

..au ile aliyowalaumu wazazi?
 
Huko ufaransa walikufa polisi wangapi, oct 29 watu wanavamia vituo vya polisi, kuua polisi na kuiba silaha, ulitaka wafanywe nini?
Hakuna raia aliyekuwa na silaha,raia wakishika silaha itakuwa hatari sana,kama ikitokea tena,raia wameshajifunza hawatatoka kindezi ili wauawe,kwa hiyo ni somo kwa Serikali na jeshi letu,waneonesha mfano mbaya na watu wameshapata akili.
 
Hakukuwa na maandamano, acha kupotosha, bali kulikuwa na watu waliojiandaa kufanya vurugu na machafuko, vituo vya mafuta, stendi za mwendokadi, vituo vya polisi , vituo vya kupigia kura vilichomwa na nani? Unavamia kituo cha polisi na kukichoma moto ulitaka wachekewe tu, ni nchi gani duniani ingekubali hilo?

..Mama Abduli angewahonga waliopanga kukata watu vidole, na kuchoma vituo vya mafuta, sehemu ya zile BILLION 200, isingeokoa mali, na maisha?

..Kiongozi una BILLION 200 unashindwa vipi kuzitumia kutuliza watu badala yake unatumia RISASI?

..Hivi unanielewa lakini?
 
Uwahonge magaidi wanaokata watu vidole na kuchoma vituo vya mafuta,stendi za mwendokasi? Una akili timamu wewe, yaani serikali ihonge majambazi yanayopora na kuharibu mali za umma? Wewe ni mzima wa akili au mwendawazimu? Hao majambazi yako yaliyoleta vurugu yalitakiwa kuchomwa moto hadharani, hata kupigwa hizo risasi walionewa huruma sana
 
Hakuna raia aliyekuwa na silaha,raia wakishika silaha itakuwa hatari sana,kama ikitokea tena,raia wameshajifunza hawatatoka kindezi ili wauawe,kwa hiyo ni somo kwa Serikali na jeshi letu,waneonesha mfano mbaya na watu wameshapata akili.
Na wale waliokuwa wanachoma moto vituo vya polisi, stendi za mwendokasi na kukata watu vidole walikuwa raia?
 
Uwahonge magaidi wanaokata watu vidole na kuchoma vituo vya mafuta,stendi za mwendokasi? Una akili timamu wewe, yaani serikali ihonge majambazi yanayopora na kuharibu mali za umma? Wewe ni mzima wa akili au mwendawazimu? Hao majambazi yako yaliyoleta vurugu yalitakiwa kuchomwa moto hadharani, hata kupigwa hizo risasi walionewa huruma sana
Upo sahihi sana hata hao waliouwawa ni wachache sana wangepigwa kweli kweii
 
Baada ya mauaji ile hotuba yake ya mwanzo ilionesha dhahiri yale mauaji yamemuumiza sana na hakutarajia kuwa vile….ila baada ya kuibuka tena…khaa,Ilikuwa ni kauli za kuumiza mioyo ya wazazi tu…sijui washika serikali wenyewe walimshauri asioneshe udhaifu au ni yeye tu alivyo😢
Hao wazazi kwa nini watoto wao walileta vurugu, ujue hata majambazi wana wazazi,ni matokeo ya malezi mabaya ya wazazi
 
Back
Top Bottom