PostGE2025 Huyu hapa anadai eti Mama Abduli alisikitishwa, na alilia, kutokana na mauaji ya OCT 29

PostGE2025 Huyu hapa anadai eti Mama Abduli alisikitishwa, na alilia, kutokana na mauaji ya OCT 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
..kinachonisikitisha mimi ni kwamba uwezo wa kushinda bila mauaji alikuwa nao.

..Mama Abduli alichangiwa BILLION 200 kwa ajili ya kampeni za uchaguzi wa 2025.

..Sasa hebu fikiria njaa walizokuwa nazo wapinzani, na Watanganyika, hilo bulungutu halitoshi kumlainisha kila mtu?

..Kulikuwa na haja gani kutumia nguvu?

..Maria Sarungi na Mange Kimambi walimshinda vipi Mama Abduli kushawishi wananchi?

..Tunaambiwa eti waandamanaji walilipwa? Yeye Mama Abduli kwanini hakupanda dau kwa kutumia BILLION 200 alizochangiwa ili watu wasiandamane?
Hapana mkuu kwa mara ya pili nakataa hii hoja yako. Pesa walijaribu wakagundua zitapotea maana walikuwa wana deal na Lissu pamoja na Heche na siyo Mbowe na Mwalimu.

Umesahau Lissu aliporejea alipelekewa pesa na Abdul na alizokataa nyumbani kwake?

Umesahau chauma na choppers zao na zile double cabins kama za M4C?

Solution ilikiwa either reforms au watumie nguvu kama walivyofanya.
 
Kipindi cha kupiga kura kuna mikoa mingi tu hali ilikuwa shwari kwa sababu hakukuwa na vurugu. Njombe,Kilimanjaro, Tanga, Lindi ,Mtwara ni nani aliumizwa kwenye uchaguzi?
Acha kujitoa ufahamu Albert Kamala (68) ni mkenya na aliuwawa hapo kilimanjaro hiyo October 29!! Mnajitoa ufahamu.

Pia kumbuka zaidi ya watu 300 walitekwa na kukamatwa moshi hapo na kuachiwa baada ya wiki hivi kama kulikua na utulivu mliwateka kwa sababu ipi?

Ndio uone mlivyodhamiria kuua watu ila maandamano yalikua kisingizio tu.
 
..Spika Zungu anadai Mama alisikitishwa na mauaji.

..Na kwamba alilia kwa uchungu watu kupoteza maisha.

..Sasa sijui yeye alimuona, au alisimuliwa.

..Na bahati mbaya ni kwamba alipolihutubia taifa hakuonyesha kusikitika, wala kujutia mauaji yale.

..Vilevile wapambe wake wamejaribu kila namna kuhalalisha mauaji yale. Lakini haiwezekani kuyahalalisha kwani waliuwawa mpaka WATOTO.

..VIDEO INAKUJA.
Wanahangaika tu kujisafisha.
 
Capital hill 2021,umati wote ule walikufa watu watano,mmoja kwa kupigwa risasi na wengine kutokana na purukushani!
Ingekuwa Tz,watu wavamie bunge na kuanza kuharibu Mali,nadhani hakuna ambaye angetoka hai!
Hao Wamarekani unaowasifia wameua watu wangapi Iran, Iraq kwa mabomu,? Wameua watoto na wanawake wangapi huko? Kwenye vurugu chochote kinaweza kutokea, oct 29 waliouwawa wengi ni magaidi waliokuwa wanachoma nchi, walipata wanachostahili
 
Acha kujitoa ufahamu Albert Kamala (68) ni mkenya na aliuwawa hapo kilimanjaro hiyo October 29!! Mnajitoa ufahamu.

Pia kumbuka zaidi ya watu 300 walitekwa na kukamatwa moshi hapo na kuachiwa baada ya wiki hivi kama kulikua na utulivu mliwateka kwa sababu ipi?

Ndio uone mlivyodhamiria kuua watu ila maandamano yalikua kisingizio tu.
Mbona wewe haukuuwawa? Haukuwepo Tanzania, waliouwawa wengi ni magaidi waliokuwa wanaichoma nchi, watu wanakata raia wenzao vidole,kuchoma moto stendi, magari ya raia, na vituo vya mafuta ulitaka wachekewe tu? Walistahili kushughulikiwa
 
Hao Wamarekani unaowasifia wameua watu wangapi Iran, Iraq kwa mabomu,? Wameua watoto na wanawake wangapi huko? Kwenye vurugu chochote kinaweza kutokea, oct 29 waliouwawa wengi ni magaidi waliokuwa wanachoma nchi, walipata wanachostahili
Ndio,walau umekiri hawauwi watu wao kwa maelfu!Hata Tz iliua wengi Uganda na wanajeshi wetu wakauwawa kwa wingi Hadi mtoto wa Nyerere!
Lakini ni ajabu sana unapoua raia wako kwa maelfu!Tena kiini kikiwa ulafi wa madaraka!!!
No wonder watanzania walimpia kura kwa wingi Sa100 mpaka akashinda tuzo ya "Tyrant of the year"!
Unachapa risasi Kila unayemuona barabarani,waliouwawa wengi hawakushiriki vurugu!
Oct 29 haitokuja kusahaulika!
Ipo siku itakuwa siku ya kitaifa!
 
Nijibu hili swali, waliokata wapiga kura vidole, kuchoma moto vituo vya polisi, stendi za mwendokasi, vituo vya mafuta, kuchoma moto magari walikuwa ni akina nani?
 
Nijibu hili swali, waliokata wapiga kura vidole, kuchoma moto vituo vya polisi, stendi za mwendokasi, vituo vya mafuta, kuchoma moto magari walikuwa ni akina nani?
Waliofanya hivyo walikuwa Wahalifu!Hilo la kukata vidole halina ushahidi!
 
Kuna Raia wa Kenya aliuwawa Goba center. Siku hiyo ya tarehe 30 baadhi watu walitoka kwenda kutafuta mahitaji kwaajili ya familia zao.
Gafla Toyota Land cruiser mali ya Serikali ilifika Goba center na Askari wakaanza kufyatua risasi raia kadhaa waliuwawa. Huyo raia wa Kenya (teacher alikua) akaanza kuwarekodi kupitia simu yake, bahati mbaya wale wauaji walimuona anavochukua video. Wakamfatilia mpaka nyumba aliyoingia ni jirani na Goba center. Wauaji wakavamia hiyo nyumba wakaamuru kila mpangaji atoke humo ndani alale chini. Yule teacher Mkenya akatoka naye alala chini akatwangwa risasi ya kichwa akafa ,maiti waliondoka nayo.Mama mwenye nyumba alipigwa risasi ya mkono (yupo hai mpaka sasa)
Ukisikia kuna Mkenya Mwalimu aliuwawa ila maiti yake haikuonekana tangu ndio huyo.
 
Waliokatwa vidole wapo hai na tunawajua ushahidi upo, hao waliofanya huo uhalifu ndio magaidi waliouwawa oct 29!
Sasa nakwambia,waliokufa wengi au kujeruhiwa hawakushiriki vurugu zile!Ikumbukwe cerfew imetangazwa wengi wakiwa mihangaikoni!Nina rafiki yangu alikuwa kibaruani,akasikia hizo vurugu ila akaendelea na kazi zake!Kumbe cerfew imetangazwa na yeye hajui!Anakuja kutoka ile saa 1 arudi nyumbani akakuta hali ni tete barabarani!Ni risasi tu zinarindima watu wanakimbia hovyo!Ndio akajificha na kupiga simu anakoishi,wakamwambia mbona hujarudi na Hali ni ya hatari na watu wamezuiwa kutoka nje?
Akachanganyikiwa,kwa pale asingeweza kufika nyumbani!Alishuhudia watu barabarani wamechapwa risasi,wanaume,Wanawake, watoto!
Alilazimika kukimbilia kwenye kijipori,huko alikaa siku 3 bila kunywa Wala kula!Mara ya mwisho naongea naye kwenye simu,ananiambia simu inakaribia kuisha charge na hajui atapataje taarifa kama kuko shwari arudi nyumbani!

Aliyoyaona kwa macho yake yanasikitisha,maana Kuna kipindi alikuwa anajaribu kutokeza barabarani walau atafute hata maji,ila akawa anakutana na Hali ya kutisha!Alijikuta anarudi porini!Story ni ndefu ila Mungu ni mwema ni mzima wa afya na familia yake!
Jiulize,ni wangapi walikuwa kwenye Hali kama hiyo na wako hai?Je,angepigwa risasi,ni nani angejuwa kama huyu alikuwa kwenye mihangaiko ya kuitafutia familia yake?Si angejumlishwa kwenye hao magaidi kama ambavyo mnawaita!
 
Kwa hiyo watu wakimvamia mkeo na kumkata kidole kwa sababu amepiga kura, utapambana nao au utawapigia nderemo na vigelegele?
Mke wangu akivamiwa akakatwa kidole, Sheria zipo, watakamatwa washtakiwe mbona kesi nyingi tunazo za watu walofanya Ujambazi na wamefungwa jela?
Kwa nini wasiuawe palepale, tusipoheshimu Sheria basi hakuna sababu ya kuwa na hata Sheria wala Mahakama.
 
Kwa hiyo watu wakimvamia mkeo na kumkata kidole kwa sababu amepiga kura, utapambana nao au utawapigia nderemo na vigelegele?
Vituo vingapi vya mwendokasi vilichomwa mkuu , stand ngapi unazozijua zilichomwa ? na je una picha za waandamanaji waliopora silaha na kuanza ku resist na police nikipata hata za watu wanne walipora nitakuelewa hoja yakoo
 
Waliokata wapiga kura vidole, kuchoma vituo vya polisi, vituo vya kupiga kura,stendi za mwendokasi na vituo vya mafuta walikuwa wahuni kutoka nchi gani? Hao ndio waliuwawa na polisi. Kama sio watanzania walikuwa wahuni kutoka nchi gani?
Stand za mwendokasi ngapi zilichomwa moto unazozifahamu
 
..Spika Zungu anadai Mama alisikitishwa na mauaji.

..Na kwamba alilia kwa uchungu watu kupoteza maisha.

..Sasa sijui yeye alimuona, au alisimuliwa.

..Na bahati mbaya ni kwamba alipolihutubia taifa hakuonyesha kusikitika, wala kujutia mauaji yale.

..Vilevile wapambe wake wamejaribu kila namna kuhalalisha mauaji yale. Lakini haiwezekani kuyahalalisha kwani waliuwawa mpaka WATOTO.

..VIDEO INAKUJA.
Alihamia nyumbani kwa mama?
 
I’ll rather starving kuliko kua chawa.

Imagine mzee kama Zungu ni wa kuongea ujinga kama huu ?

Wanajeshi wakaacha kulinda mipaka wakaja kuwinda wananchi na kuwajaza hofu.

Ili tu mahindi wa kishindo ale kiapo.

Kumbe hata wajinga wanazeeka.
 
Back
Top Bottom