Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

Status
Not open for further replies.
Mbona umechukia sana mkuu? issue ndogo sana hii kwa mtambo wa kusafisha na kutetea uovu Tanzania (CHADEMA)
Tumesimama ngangari kutetea ACACIA na kumsafisha yule FISADI number moja kwenye list yetu, itakuwa issue ya Mbowe na Wema?
 
Kuhus mwito wa simu iyo ni Application ndugu nenda play store ipo automatic call recorder ukiinstal iyo simu yyte utakayopigiwa utakayopiga inarecord automatic kuanzia simu inapoita mpaka inapokelewa then inajisave...etc
 
Please JF tunawaheshimu sana lakini hatuwezi kuvumilia mkiachia habari za kumchafua mbowe zikiendelea Ku trend hapa mtandaoni.
Hao wameacha imetrend tokea asubuhi,saiv wamefungia kila uzi unaohusiana na sakata hilo
 
Sasa kama vipaji wanavyo ya nini kuandamana kisa City Hunter ya kikorea?
 
Kama ni kweli kwann wameuondoa sasa?Kwann wanafuta nyuzi watu wakileta ushahidi?
hata kama wameuondoa message sent...na tayari audio tunazo kwenye simu zetu watanzania tumeshajua Mbowe na Wema ni wapenzi walioshibana kama kumbi kumbi
 
Mbona umechukia sana mkuu? issue ndogo sana hii kwa mtambo wa kusafisha na kutetea uovu Tanzania (CHADEMA)
Tumesimama ngangari kutetea ACACIA na kumsafisha yule FISADI number moja kwenye list yetu, itakuwa issue ya Mbowe na Wema?
Tukija na scandal za Magu wawe tayari kuziachia!
 
hata kama wameuondoa message sent...na tayari audio tunazo kwenye simu zetu watanzania tumeshajua Mbowe na Wema ni wapenzi walioshibana kama kumbi kumbi
UMnajitekenya na kucheka wenyewe,mnastage maongezi ili kushusha heshima ya CDM!Hamtofanikiwa,namna pekee ya kuwin mioyo ya watanzania ni kutimiza ahadi zenu za uchaguzi na si kuchafua upinzani!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…