Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

Status
Not open for further replies.
Kama kweli wameshiriki kuruhusu kuchafuliwa kwa Mbowe hakika wamefanya vibaya sana na credibility ya mtandao huu itashuka ghafla. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kukubaliana na ujinga wa namna hii.
Lazima walipata msukumo,tokea asubuhi tumewaomba wasiruhusu uzi huo mpaka ithibitishwe kuwa the audio is aunthetic,hawakusikia!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Leo wameachia story ya Mbowe kutoka na Wema kutrend siku nzima!Watu wamejadili,Mbowe kadhalilishwa wakiwa wanaangalia tu!

Muda mfupi uliopita nimekuja na Mada yenye kutoa ushahidi kuwa maongezi yale yamekuwa staged!Niliambatanisha video kuback up hoja yangu,cha ajabu JF mods wameuondoa uzi huo!

Naona kazi yao ya kuruhusu Mbowe achafuliwe imekamilika,sasa kila uzi unaohusu suala hilo wanaufuta!!!

Mbona hawakuufuta uzi huo toka asubuhi?Iweje watoe platform kumchafua ila wazuie watu wanapokuja na ushahidi kuwa kitu kile kimekuwa staged?
Shame on you Moderator
Nimeligundua hilo toka saa Tano asubuhi, imeniuma sana nimefikiria kwa nini mods wanafanya hivyo lakini ikija mada ya kuchafua CCM haichukui dakika 2 ishatoweka humu ndani.
Mf. Kwenye jukwaa la utani niliwahi kupost kirefu cha JPM cha utani wakati naquote post ya mchangiaji lakini baada ya kusubmit quote yangu hapo hapo nikaona comment yangu imewekewa nyota kwenye maneno niliyoandika kirefu cha JPM.
Nikashtuka nikasema ivi nimekosea kuandika au.. Nikarudi kuedit, nilipobonyeza ili niedit maneno niliyoandika yakaonekana kama kawaida, Basi nikaamua kuandika mengine na nikaachana na ile niliyoikusidia.

Sasa kwa mantiki hiyo inaonesha dhahiri hawa mods wanatumika sana kukandamiza upande fulani huku upande mwingine ukiachwa ukichafua wengine bila kuchukuliwa hatua yoyote.

Kwenye sheria za humu JF mods wamesema ni marufuku kukejeli mtu/kumchafua mtu kwa namna moja au nyingine lakini nashangaa hiyo sheria inavunjwa lakini hawachukui hatua haraka iwezekanavyo.
Naomba mods muache hiyo tabia na hakikisheni jukwaa linakuwa na mada zinazoendana na jina la JF ambalo limepambwa na kibwagizo cha The Home of Great Thinkers
 
  • Thanks
Reactions: BAK
pesa ya ruzuku ya chama Mbowe anampandisha ndege Wema kwenda kuchepuka.....halafu nyie mnashangilia nyie watu ni wakuhurumia sana
Mbona kuna mtu kampa bure hawala nyumba ya serikali wewe unamshangilia?
 
Rudi ujitetee,nime update uzi!
we ndio zuzu kweli ile sauti ya Mbowe na Wema inaonekana kabisa ni halisi hiyo ya huyo mwingine inaonekana kabisa ya kuigiza...by the way...Wema anamlaumu Mbowe kwa kuvujisha maongezi yao
 
Mwenyekiti na uzinzi ila sepenga atakuwa jini mahaba na gundu kwasababu uwezi kufanya nae kitu bila ku leak.
 
Audio imeshavuja tumeburudika sasa mtajijua wenyewe na kujaribu kusafishana.

Kurudi hapana aiseeeeeee

Tunajua ni ukweli, hata mlipe pesa ndefu na kutekodiana wengine hatudanganyiki.
 
Nimeligundua hilo toka saa Tano asubuhi, imeniuma sana nimefikiria kwa nini mods wanafanya hivyo lakini ikija mada ya kuchafua CCM haichukui dakika 2 ishatoweka humu ndani.
Mf. Kwenye jukwaa la utani niliwahi kupost kirefu cha JPM cha utani wakati naquote post ya mchangiaji lakini baada ya kusubmit quote yangu hapo hapo nikaona comment yangu imewekewa nyota kwenye maneno niliyoandika kirefu cha JPM.
Nikashtuka nikasema ivi nimekosea kuandika au.. Nikarudi kuedit, nilipobonyeza ili niedit maneno niliyoandika yakaonekana kama kawaida, Basi nikaamua kuandika mengine na nikaachana na ile niliyoikusidia.

Sasa kwa mantiki hiyo inaonesha dhahiri hawa mods wanatumika sana kukandamiza upande fulani huku upande mwingine ukiachwa ukichafua wengine bila kuchukuliwa hatua yoyote.

Kwenye sheria za humu JF mods wamesema ni marufuku kukejeli mtu/kumchafua mtu kwa namna moja au nyingine lakini nashangaa hiyo sheria inavunjwa lakini hawachukui hatua haraka iwezekanavyo.
Naomba mods muache hiyo tabia na hakikisheni jukwaa linakuwa na mada zinazoendana na jina la JF ambalo limepambwa na kibwagizo cha The Home of Great Thinkers
MAPENZI YA MBOWE NA WEMA yamesapotiwa na ushahidi wa audio mkuu wakati uzushi mwingine usiokuwa na ushahidi ndio unaofutwa......lete thread yenye ushahidi wa video au audio uone kama utafutwa
 
we ndio zuzu kweli ile sauti ya Mbowe na Wema inaonekana kabisa ni halisi hiyo ya huyo mwingine inaonekana kabisa ya kuigiza...by the way...Wema anamlaumu Mbowe kwa kuvujisha maongezi yao
Hiyo ya kumlaumu Mbowe si ndio mwisho inasema "aah Steve nimechoka bhana"!!
Yaani mmesahau hadi kutrim,mkarusha hivyo hivyo!
Ingekuwa kwa masikio yako unaweza kuverify saauti ni ya nani,isingetengenezwa mitambo ya voice recognition!
Its a frame,kama Wema ndio amerecord akilaumu,kwanini amekana kupitia ukurasa wake wa snap chat?
Nyie kenge tumeshawajua!
 
Leo wameachia story ya Mbowe kutoka na Wema kutrend siku nzima!Watu wamejadili,Mbowe kadhalilishwa wakiwa wanaangalia tu!

Muda mfupi uliopita nimekuja na Mada yenye kutoa ushahidi kuwa maongezi yale yamekuwa staged!Niliambatanisha video kuback up hoja yangu,cha ajabu JF mods wameuondoa uzi huo!

Naona kazi yao ya kuruhusu Mbowe achafuliwe imekamilika,sasa kila uzi unaohusu suala hilo wanaufuta!!!

Mbona hawakuufuta uzi huo toka asubuhi?Iweje watoe platform kumchafua ila wazuie watu wanapokuja na ushahidi kuwa kitu kile kimekuwa staged?
Shame on you Moderator

Acha mboye achane ukweli mbuna vongozi wengne humu ndani hutukanwa then uzi unaachwa watu wanachangia uacheni tumwage zogooo
 
Nikisema Mama yako anatembea na Mbowe utatoa komenti kama hiyo? Jitafakari!
ukileta ushahidi wa audio au video kwangu ni poa tu mbona Mbowe hajakanusha mpaka sasa hivi hawezi kukanusha anajua ni ukweli mtupu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom