Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Wewe leta ushahidi wa video Wema akikiri kupiga hiyo simu!lete ushahidi wa video na audio wakikabithiana hiyo nyumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe leta ushahidi wa video Wema akikiri kupiga hiyo simu!lete ushahidi wa video na audio wakikabithiana hiyo nyumba
duh! we unaonekana ni bonge moja la shilawadu!hata kama wameuondoa message sent...na tayari audio tunazo kwenye simu zetu watanzania tumeshajua Mbowe na Wema ni wapenzi walioshibana kama kumbi kumbi
Yuko msibani halafu sio mkurupukaji kama Magu!Subiri in due time kitaelewekaukileta ushahidi wa audio au video kwangu ni poa tu mbona Mbowe hajakanusha mpaka sasa hivi hawezi kukanusha anajua ni ukweli mtupu
Basi anatembea na Mbowe.ukileta ushahidi wa audio au video kwangu ni poa tu mbona Mbowe hajakanusha mpaka sasa hivi hawezi kukanusha anajua ni ukweli mtupu
wema alichoka na maswali ya steve ndio maana akamuambia hivyo but amesema ukweli aliesambaza hiyo audio clip ni Mbowe......sauti ya Wema huwezi kuiigiza n ya kipekee hiyo sauti fake uliyoweka hapo juu hata hazifanani kabisa......tafuta thread za wema linganisha na sauti yake alipoongea na Mbowe ziko sawa kabisaHiyo ya kumlaumu Mbowe si ndio mwisho inasema "aah Steve nimechoka bhana"!!
Yaani mmesahau hadi kutrim,mkarusha hivyo hivyo!
Ingekuwa kwa masikio yako unaweza kuverify saauti ni ya nani,isingetengenezwa mitambo ya voice recognition!
Its a frame,kama Wema ndio amerecord akilaumu,kwanini amekana kupitia ukurasa wake wa snap chat?
Nyie kenge tumeshawajua!
Mbowe anatembea na Wema hahahhahahah mwenyekiti wenu ameumbuka pesa za ruzuku ya chama anazitumia kumpandishia ndege wema kufanya uzinziBasi anatembea na Mbowe.
hayuko msibani..yuko hotelini Arusha na Wema....!Yuko msibani halafu sio mkurupukaji kama Magu!Subiri in due time kitaeleweka
Imewahi kuwekwa picha ya Keys hotel ikafutwa harakaharaka unataka ushahidi gani?MAPENZI YA MBOWE NA WEMA yamesapotiwa na ushahidi wa audio mkuu wakati uzushi mwingine usiokuwa na ushahidi ndio unaofutwa......lete thread yenye ushahidi wa video au audio uone kama utafutwa
Mwenyekiti na uzinzi ila sepenga atakuwa jini mahaba na gundu kwasababu uwezi kufanya nae kitu bila ku leak [emoji1] [emoji2]Acheni kupotosha..!! Yule ni wema original. Tunajua nyie ni Mabingwa wa kusafisha lakini hapo hamna jinsi yule ni wema original na Yule ni Mbowe original. Hakuna asiyefanya yale. Kila mtu anafanya Kwa namna moja au nyingine lakin ikitoka hadharan lazima mhusika atoke hadharan kuomba msamaha na kuwajibika Kwa matendo yake.
Hakuna aliemtuma kufanya vile. Kuna Wanawake Wengi wazuri kuliko Wema na wastaarab kuliko wema ambao wangemlindia heshima yake lakini yeye alichagua kwenda Kwa wema so lazima awajibike Kwa matokeo ya matendo yake.
Audio iliyoyengenezwa na akina Bashite na Steve Nyerere ndio ushahidi?MAPENZI YA MBOWE NA WEMA yamesapotiwa na ushahidi wa audio mkuu wakati uzushi mwingine usiokuwa na ushahidi ndio unaofutwa......lete thread yenye ushahidi wa video au audio uone kama utafutwa
Najibishana na mtu mpumbavhayuko msibani..yuko hotelini Arusha na Wema....!
Nakubaliana na wewe mkuu 100%Kuhus mwito wa simu iyo ni Application ndugu nenda play store ipo automatic call recorder ukiinstal iyo simu yyte utakayopigiwa utakayopiga inarecord automatic kuanzia simu inapoita mpaka inapokelewa then inajisave...etc
Umejaa upumbavu,hutaki kudiscuss facts!Basi wacha twende down that road with u!Mbowe anatembea na Wema hahahhahahah mwenyekiti wenu ameumbuka pesa za ruzuku ya chama anazitumia kumpandishia ndege wema kufanya uzinzi
Mkuu wewe unatetea tu ila kuna audio wema ameshakili zamani sana1: Aliyepiga ile simu ni nani?, ukisikiliza vizuri inaonekana kana kwamba ni kitu cha studio na wala sio simu live,
2: aliyerecord ile sauti ni nani? Ukiisikiliza vizuri utaona Sauti ya Wema iko juu zaidi ya Mbowe, kwa maana kwamba aliyekuwa anarecord ni Wema, lakini swali la kujiuliza iweje aliweza kurecord muito wa simu kwanza?, yaani alianza kurocord vipi mwito ndio arekodi na sauti ya maongezi?
3: kwa nini sauti ya Mbowe haiko clear, yaani anaongea as if ni mtu anayejua kinachofnyika? (Anarekodiwa) yaani mtu alikuwa anaigiza lakini hakutaka kutoka nje ya key, so alikuwa anaongea mkatomkato ili asipoteze sauti (tone) ya Mbowe
Mwenyewe nani mkuu?Acheni kupotosha ukweli nyie sio huyo yule ni mwenyewe kabisa