Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

Status
Not open for further replies.
hata kama wameuondoa message sent...na tayari audio tunazo kwenye simu zetu watanzania tumeshajua Mbowe na Wema ni wapenzi walioshibana kama kumbi kumbi
duh! we unaonekana ni bonge moja la shilawadu!
 
ukileta ushahidi wa audio au video kwangu ni poa tu mbona Mbowe hajakanusha mpaka sasa hivi hawezi kukanusha anajua ni ukweli mtupu
Yuko msibani halafu sio mkurupukaji kama Magu!Subiri in due time kitaeleweka
 
Hiyo ya kumlaumu Mbowe si ndio mwisho inasema "aah Steve nimechoka bhana"!!
Yaani mmesahau hadi kutrim,mkarusha hivyo hivyo!
Ingekuwa kwa masikio yako unaweza kuverify saauti ni ya nani,isingetengenezwa mitambo ya voice recognition!
Its a frame,kama Wema ndio amerecord akilaumu,kwanini amekana kupitia ukurasa wake wa snap chat?
Nyie kenge tumeshawajua!
wema alichoka na maswali ya steve ndio maana akamuambia hivyo but amesema ukweli aliesambaza hiyo audio clip ni Mbowe......sauti ya Wema huwezi kuiigiza n ya kipekee hiyo sauti fake uliyoweka hapo juu hata hazifanani kabisa......tafuta thread za wema linganisha na sauti yake alipoongea na Mbowe ziko sawa kabisa
 
MAPENZI YA MBOWE NA WEMA yamesapotiwa na ushahidi wa audio mkuu wakati uzushi mwingine usiokuwa na ushahidi ndio unaofutwa......lete thread yenye ushahidi wa video au audio uone kama utafutwa
Imewahi kuwekwa picha ya Keys hotel ikafutwa harakaharaka unataka ushahidi gani?
 
Acheni kupotosha..!! Yule ni wema original. Tunajua nyie ni Mabingwa wa kusafisha lakini hapo hamna jinsi yule ni wema original na Yule ni Mbowe original. Hakuna asiyefanya yale. Kila mtu anafanya Kwa namna moja au nyingine lakin ikitoka hadharan lazima mhusika atoke hadharan kuomba msamaha na kuwajibika Kwa matendo yake.

Hakuna aliemtuma kufanya vile. Kuna Wanawake Wengi wazuri kuliko Wema na wastaarab kuliko wema ambao wangemlindia heshima yake lakini yeye alichagua kwenda Kwa wema so lazima awajibike Kwa matokeo ya matendo yake.
Mwenyekiti na uzinzi ila sepenga atakuwa jini mahaba na gundu kwasababu uwezi kufanya nae kitu bila ku leak [emoji1] [emoji2]
 
MAPENZI YA MBOWE NA WEMA yamesapotiwa na ushahidi wa audio mkuu wakati uzushi mwingine usiokuwa na ushahidi ndio unaofutwa......lete thread yenye ushahidi wa video au audio uone kama utafutwa
Audio iliyoyengenezwa na akina Bashite na Steve Nyerere ndio ushahidi?
Mnafeli sana na mtaendelea kufeli tu, mnatumia nguvu nyingi kwenye mambo ya kipuuzi badala ya kutafuta mbinu ya kutekeleza Ilani mlizokuwa mnazinadi nchi nzima tena kwa masaa 24,
Sawa mnajitahidi kutengeneza tamthilia kwa kuumiza akili zenu, ingekuwa mnafanya hivyo kwenye kubuni mambo ya kimaendeleo tungekuwa tushapiga hatua siku nyingi.

Upinzani hamuwezi kuumaliza kwa kutengeneza tamthilia, kuweka watu kizuizini, kuteka watu, kuzuia mikutano ya kisiasa, kuzuia bunge live bali akili ikitumika ipasavyo kwa mambo ya maana mtapata matokeo ambayo hutahitaji nguvu kumvutia mpinzani.

Kila la heri na Nchi ya Viwanda!!.
 
Kuhus mwito wa simu iyo ni Application ndugu nenda play store ipo automatic call recorder ukiinstal iyo simu yyte utakayopigiwa utakayopiga inarecord automatic kuanzia simu inapoita mpaka inapokelewa then inajisave...etc
Nakubaliana na wewe mkuu 100%
 
Mbowe anatembea na Wema hahahhahahah mwenyekiti wenu ameumbuka pesa za ruzuku ya chama anazitumia kumpandishia ndege wema kufanya uzinzi
Umejaa upumbavu,hutaki kudiscuss facts!Basi wacha twende down that road with u!
Mbinulie kama vp na wewe ule ruzuku!
 
1: Aliyepiga ile simu ni nani?, ukisikiliza vizuri inaonekana kana kwamba ni kitu cha studio na wala sio simu live,
2: aliyerecord ile sauti ni nani? Ukiisikiliza vizuri utaona Sauti ya Wema iko juu zaidi ya Mbowe, kwa maana kwamba aliyekuwa anarecord ni Wema, lakini swali la kujiuliza iweje aliweza kurecord muito wa simu kwanza?, yaani alianza kurocord vipi mwito ndio arekodi na sauti ya maongezi?
3: kwa nini sauti ya Mbowe haiko clear, yaani anaongea as if ni mtu anayejua kinachofnyika? (Anarekodiwa) yaani mtu alikuwa anaigiza lakini hakutaka kutoka nje ya key, so alikuwa anaongea mkatomkato ili asipoteze sauti (tone) ya Mbowe
Mkuu wewe unatetea tu ila kuna audio wema ameshakili zamani sana
 
Mwenyekiti na uzinzi ila sepenga atakuwa jini mahaba na gundu kwasababu uwezi kufanya nae kitu bila ku leak [emoji1] [emoji2]
Hiyo issue ni fake
 
Mnawaacha ccm wanaendelea kuingia mikataba ya kifisadi na kujifanya wanakuja kutatua baadae......badala ya kuhakikisha mdudu ccm anaondolewa....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom