Lazima walipata msukumo,tokea asubuhi tumewaomba wasiruhusu uzi huo mpaka ithibitishwe kuwa the audio is aunthetic,hawakusikia!Kama kweli wameshiriki kuruhusu kuchafuliwa kwa Mbowe hakika wamefanya vibaya sana na credibility ya mtandao huu itashuka ghafla. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kukubaliana na ujinga wa namna hii.
Nimeligundua hilo toka saa Tano asubuhi, imeniuma sana nimefikiria kwa nini mods wanafanya hivyo lakini ikija mada ya kuchafua CCM haichukui dakika 2 ishatoweka humu ndani.Leo wameachia story ya Mbowe kutoka na Wema kutrend siku nzima!Watu wamejadili,Mbowe kadhalilishwa wakiwa wanaangalia tu!
Muda mfupi uliopita nimekuja na Mada yenye kutoa ushahidi kuwa maongezi yale yamekuwa staged!Niliambatanisha video kuback up hoja yangu,cha ajabu JF mods wameuondoa uzi huo!
Naona kazi yao ya kuruhusu Mbowe achafuliwe imekamilika,sasa kila uzi unaohusu suala hilo wanaufuta!!!
Mbona hawakuufuta uzi huo toka asubuhi?Iweje watoe platform kumchafua ila wazuie watu wanapokuja na ushahidi kuwa kitu kile kimekuwa staged?
Shame on you Moderator
Unazo mkuu?Tukija na scandal za Magu wawe tayari kuziachia!
Jaribu.Akiwa Rais ndio upuuzi wake hauwekwi hadharani
Aligawa nyumba ya serikali kwa hawara yakeJaribu.
Mbona kuna mtu kampa bure hawala nyumba ya serikali wewe unamshangilia?pesa ya ruzuku ya chama Mbowe anampandisha ndege Wema kwenda kuchepuka.....halafu nyie mnashangilia nyie watu ni wakuhurumia sana
we ndio zuzu kweli ile sauti ya Mbowe na Wema inaonekana kabisa ni halisi hiyo ya huyo mwingine inaonekana kabisa ya kuigiza...by the way...Wema anamlaumu Mbowe kwa kuvujisha maongezi yaoRudi ujitetee,nime update uzi!
Kwa hiyo unaona wivu wema akipewa unataka na wewe upewe?jaza ujazwe!!ntarudi[emoji124] [emoji124]wema Sepetu soon atapewa ubunge wa viti maalumu kwa #hashtag# kumuonga #hashtag# penzi jamaa
lete ushahidi wa video na audio wakikabithiana hiyo nyumbaMbona kuna mtu kampa bure hawala nyumba ya serikali wewe unamshangilia?
Mbona normal tu hilo! Kwani Mbowe angemkatia Ticket Wema ingekuwa shida? si mapenzi tu!Aligawa nyumba ya serikali kwa hawara yake
Chunga kauli zakoHana jipya uyo bibi kizee Wema
MAPENZI YA MBOWE NA WEMA yamesapotiwa na ushahidi wa audio mkuu wakati uzushi mwingine usiokuwa na ushahidi ndio unaofutwa......lete thread yenye ushahidi wa video au audio uone kama utafutwaNimeligundua hilo toka saa Tano asubuhi, imeniuma sana nimefikiria kwa nini mods wanafanya hivyo lakini ikija mada ya kuchafua CCM haichukui dakika 2 ishatoweka humu ndani.
Mf. Kwenye jukwaa la utani niliwahi kupost kirefu cha JPM cha utani wakati naquote post ya mchangiaji lakini baada ya kusubmit quote yangu hapo hapo nikaona comment yangu imewekewa nyota kwenye maneno niliyoandika kirefu cha JPM.
Nikashtuka nikasema ivi nimekosea kuandika au.. Nikarudi kuedit, nilipobonyeza ili niedit maneno niliyoandika yakaonekana kama kawaida, Basi nikaamua kuandika mengine na nikaachana na ile niliyoikusidia.
Sasa kwa mantiki hiyo inaonesha dhahiri hawa mods wanatumika sana kukandamiza upande fulani huku upande mwingine ukiachwa ukichafua wengine bila kuchukuliwa hatua yoyote.
Kwenye sheria za humu JF mods wamesema ni marufuku kukejeli mtu/kumchafua mtu kwa namna moja au nyingine lakini nashangaa hiyo sheria inavunjwa lakini hawachukui hatua haraka iwezekanavyo.
Naomba mods muache hiyo tabia na hakikisheni jukwaa linakuwa na mada zinazoendana na jina la JF ambalo limepambwa na kibwagizo cha The Home of Great Thinkers
Nikisema Mama yako anatembea na Mbowe utatoa komenti kama hiyo? Jitafakari!ile audio ya Mbowe na Wema ni ya ukweli kabisa ndio maana mods hawakuutoa ule uzi achene upuuzi nyie
Hiyo ya kumlaumu Mbowe si ndio mwisho inasema "aah Steve nimechoka bhana"!!we ndio zuzu kweli ile sauti ya Mbowe na Wema inaonekana kabisa ni halisi hiyo ya huyo mwingine inaonekana kabisa ya kuigiza...by the way...Wema anamlaumu Mbowe kwa kuvujisha maongezi yao
Acha mboye achane ukweli mbuna vongozi wengne humu ndani hutukanwa then uzi unaachwa watu wanachangia uacheni tumwage zogoooLeo wameachia story ya Mbowe kutoka na Wema kutrend siku nzima!Watu wamejadili,Mbowe kadhalilishwa wakiwa wanaangalia tu!
Muda mfupi uliopita nimekuja na Mada yenye kutoa ushahidi kuwa maongezi yale yamekuwa staged!Niliambatanisha video kuback up hoja yangu,cha ajabu JF mods wameuondoa uzi huo!
Naona kazi yao ya kuruhusu Mbowe achafuliwe imekamilika,sasa kila uzi unaohusu suala hilo wanaufuta!!!
Mbona hawakuufuta uzi huo toka asubuhi?Iweje watoe platform kumchafua ila wazuie watu wanapokuja na ushahidi kuwa kitu kile kimekuwa staged?
Shame on you Moderator
ukileta ushahidi wa audio au video kwangu ni poa tu mbona Mbowe hajakanusha mpaka sasa hivi hawezi kukanusha anajua ni ukweli mtupuNikisema Mama yako anatembea na Mbowe utatoa komenti kama hiyo? Jitafakari!