Rajikumar Ashoka
Senior Member
- Jun 3, 2017
- 150
- 91
Hamna mkuu tafuta kuna audio mpya wema amekili ila anasema Samsung ndio ina kawaida ya kurecord na ndio anatumia mwenyekiti ila yeye anatumia I phone ajafanya ivyo.Hiyo issue ni fake
Hii ni kama Tetesi ndio maana nimeweka jukwaa hili.
Sasa namtafuta aliyeigiza sauti ya KUB
Nitaendelea kuwajuza
Wenu
Ethos
Kakuzalia mama au baba yako?Hana jipya uyo bibi kizee Wema