Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

Status
Not open for further replies.
Hiyo issue ni fake
Hamna mkuu tafuta kuna audio mpya wema amekili ila anasema Samsung ndio ina kawaida ya kurecord na ndio anatumia mwenyekiti ila yeye anatumia I phone ajafanya ivyo.
 
Hamna mkuu tafuta kuna audio mpya wema amekili ila anasema Samsung ndio ina kawaida ya kurecord na ndio anatumia mwenyekiti ila yeye anatumia I phone ajafanya ivyo.
Sasa huyo ndio huyo mdada. .wema kashasema hausiki
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wahuni watakuwa wameshamlipa huyu mkwanja wake mzuri sana. Nchi yetu imeharibika sana hadi kufikia kuchafuana kiasi hiki.

Hii ni kama Tetesi ndio maana nimeweka jukwaa hili.

Sasa namtafuta aliyeigiza sauti ya KUB

Nitaendelea kuwajuza

82c51a24e268c6475dae854dd691f347.jpg
80067df390cf9a62f4b4bb9eff518efd.jpg

Wenu

Ethos
 
Tumuachane "Baba Wema" amalize msiba kwanza.
Ila kwa upande mwingine Mama Ubaya anashukuru maombi ya Watanzania kwa kuweza kumuombea apate mume mwenye heshima ila sijui hajui kuwa mume mwenyewe ni "Mume wa Mtu"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom