Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

Status
Not open for further replies.
Audio imeshavuja tumeburudika sasa mtajijua wenyewe na kujaribu kusafishana.

Kurudi hapana aiseeeeeee

Tunajua ni ukweli, hata mlipe pesa ndefu na kutekodiana wengine hatudanganyiki.
acha unafki[emoji350] [emoji350] [emoji350]
 
INASEMEKANA ALIYEIGIZA SAUTI YA WEMA NDO HUYU RAFIKI YAKE MPOKI

Muda mwingine muwe mna apply hii theory ya Spiral of Silence kwani mtaepuka na mengi na mtakuwa safe sana tu. Kwa Mtu aliye na akili timamu kabisa kama kaisikiliza hiyo Voice Note hatochelewa kugundua kuwa hizo Sauti zote mbili siyo za Wema Sepetu wala Freeman Mbowe.

Muigizaji alichopatia tu ni katika kuigiza Sauti ya Wema Sepetu ila kwa sauti ya Freeman Mbowe ameikosea tena vibaya mno kwani Voice Code ya Freeman Mbowe ni ya Kipekee sana na ukiisikiliza vizuri sana utasikia jinsi huyo Popoma muigizaji anavyohangaika kuiiga.

Na sehemu ambayo imemuumbua vilivyo Muigizaji Popoma wa sauti ya Freeman Mbowe ni pale alipokuwa akihangaika na Kiingereza chake cha Ras Simba cha kubabaika na kuchapia wakati hakuna asiyejua kuwa Freeman Mbowe naturally ni Wordsmith ( ametukuka kwa kukijua vizuri sana Kiingereza )

Personally sijaona haja ya Wema Sepetu kuhangaika kufanya counter kwa kujibu huu Upupu / Upuuzi na hapa ndipo unaonekana sasa kwa Watanzania ifike muda sasa kama unajua Wewe ni Public Figure au Celeb basi uhakikishe unakuwa na Communication Expert wako / Spokesperson wako ambaye atakuwa anakusaidia katika kukabili majaribu ya Kimawasiliano kama haya.

Hiyo Spiral of Silence Theory ni nzuri sana hasa ukijua jinsi ya kuitumia na wakati gani otherwise na Wewe ukiwa ni Mwepesi wa Kuhamaki na kutaka kukimbia katika Media kujibu nawe pia utaonekana ni mmoja wa wale wale Wapumbavu / wa hovyo hovyo kama wale waliokukosea / kukuzushia.

Mwisho nimshauri tu Freeman Mbowe kuwa asipoteze muda kuliongelea au kulijibia hili na badala yake aendelee zake tu kuchapa Kazi na kuhakikisha Maziko ya Mzee wao wa CHADEMA Philemon Ndesamburo Kesho anapumzishwa vizuri katika nyumba yake ya milele. Mbowe na Yeye akilijibu au hata kuligusia hili nitaanza Kumdharau na kumuondoa kabisa katika list yangu ya Wanasiasa ninaowaheshimu kabisa hapa nchini Tanzania.

Yangu ni hayo tu.
 
hakuna kitu cha kishoga au kimalaya kama kujaribu kuwatetea watu wazima, waliokubaliana kufanya mapenzi kwa starehe zao

kwani mnaomtetea mbowe kila akitaka kulala na mwanamke huwa mnamfungulia zipu?

yule mbowe, yule wema

sijaona threat ya mbowe kwa sasa kiasi cha kuzushiwa vile
 
Audio imeshavuja tumeburudika sasa mtajijua wenyewe na kujaribu kusafishana.

Kurudi hapana aiseeeeeee

Tunajua ni ukweli, hata mlipe pesa ndefu na kutekodiana wengine hatudanganyiki.

Duu!TZ bado kazi ipo....!enheeee acha uburudike na kusahau matatizo yako.....!
 
Muda mwingine muwe mna apply hii theory ya Spiral of Silence kwani mtaepuka na mengi na mtakuwa safe sana tu. Kwa Mtu aliye na akili timamu kabisa kama kaisikiliza hiyo Voice Note hatochelewa kugundua kuwa hizo Sauti zote mbili siyo za Wema Sepetu wala Freeman Mbowe.

Muigizaji alichopatia tu ni katika kuigiza Sauti ya Wema Sepetu ila kwa sauti ya Freeman Mbowe ameikosea tena vibaya mno kwani Voice Code ya Freeman Mbowe ni ya Kipekee sana na ukiisikiliza vizuri sana utasikia jinsi huyo Popoma muigizaji anavyohangaika kuiiga.

Na sehemu ambayo imemuumbua vilivyo Muigizaji Popoma wa sauti ya Freeman Mbowe ni pale alipokuwa akihangaika na Kiingereza chake cha Ras Simba cha kubabaika na kuchapia wakati hakuna asiyejua kuwa Freeman Mbowe naturally ni Wordsmith ( ametukuka kwa kukijua vizuri sana Kiingereza )

Personally sijaona haja ya Wema Sepetu kuhangaika kufanya counter kwa kujibu huu Upupu / Upuuzi na hapa ndipo unaonekana sasa kwa Watanzania ifike muda sasa kama unajua Wewe ni Public Figure au Celeb basi uhakikishe unakuwa na Communication Expert wako / Spokesperson wako ambaye atakuwa anakusaidia katika kukabili majaribu ya Kimawasiliano kama haya.

Hiyo Spiral of Silence Theory ni nzuri sana hasa ukijua jinsi ya kuitumia na wakati gani otherwise na Wewe ukiwa ni Mwepesi wa Kuhamaki na kutaka kukimbia katika Media kujibu nawe pia utaonekana ni mmoja wa wale wale Wapumbavu / wa hovyo hovyo kama wale waliokukosea / kukuzushia.

Mwisho nimshauri tu Freeman Mbowe kuwa asipoteze muda kuliongelea au kulijibia hili na badala yake aendelee zake tu kuchapa Kazi na kuhakikisha Maziko ya Mzee wao wa CHADEMA Philemon Ndesamburo Kesho anapumzishwa vizuri katika nyumba yake ya milele. Mbowe na Yeye akilijibu au hata kuligusia hili nitaanza Kumdharau na kumuondoa kabisa katika list yangu ya Wanasiasa ninaowaheshimu kabisa hapa nchini Tanzania.

Yangu ni hayo tu.
Mbowe hasafishiki kwa uzinzi huu. Hapo ndipo ninapozipendaga "Sharia laws" wazinifu wawili, kugongwa mawe hadi kudanja!
 
hakuna kitu cha kishoga au kimalaya kama kujaribu kuwatetea watu wazima, waliokubaliana kufanya mapenzi kwa starehe zao

kwani mnaomtetea mbowe kila akitaka kulala na mwanamke huwa mnamfungulia zipu?

yule mbowe, yule wema

sijaona threat ya mbowe kwa sasa kiasi cha kuzushiwa vile
Mkuu ni wewe ulieigiza ???
 
hahahaha mkawadanganye wajinga nyie mabingwa wa kusafisha watu.
huyo ni Mbowe live
 
Miezi mitatu mwenye chair kapindua, Shikamoo wema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana domo kaona bora apige jimama maana sio kwa stress hizi, kasafisha Dar nzima
 
Mapovu ya nini kwani huyu ni wa kwanza kufanya nae mchepuko na yule wa dubai viti maalum m,kiti noma namfananisha na wale matajiri wa miss bongo anae nunua gari la zawadi ndio wa kwanza kuchagua totoz bomba .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom