Wazazi wake ni Kenya Baba na Mama Ni Tanzania
Inawezekana sijui iko wapi ila bingo kuna mitaa inaitwa OhioSouthampton iko wapi Tanzania?
LabdaRishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.
View attachment 2396584
Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980.
Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960.
Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa Waziri mkuu mwenye asili ya india na wa kwanza kushika madaraka hayo makubwa nchini Uingereza.
Ulishaona mtanzania mhindi??? hao wahamiaji tu, ni sawa na mtu mweusi kujiita ni muingereza hapana ni muafrika tuu. Kwahio huyu ni mhindi na hajazaliwa Tanzania pia. Kwa kifupi haijui hata hio Tanzania ilipo,.
Sio Arusha ni ManyaraInawezekana sijui iko wapi ila bingo kuna mitaa inaitwa Ohio
Au hujawahi sikia Arusha huko kuna watu wa Iraq
Mama ka nae ni mhindi bas sio mtz huyo wala mama ake sema walipita tu tz miaka kadhaa wakasepa[emoji1787][emoji1787]Baba yake ni mkenya
Mama yake ni Mtanzania wa Tanganyika
hahahahaSouthampton iko wapi Tanzania?
Kanda ya ziwa....eti waturutumbi π π πHuyu mhindi, acheni upotoshaji eti ana nasaba ya Tanzania. Watanzania wa kuzaliwa waturutumbi mnawanyima uraia pacha mnajidai huyu mhindi ni ana nasaba ya Tanzania... Kazaliwa Uingereza ni muingereza mwenye asili ya India....period.
πSio Arusha ni Manyara
Waziri mkuu lazima awe muanglikana, sijui itakuwajeRishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.
View attachment 2396584
Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980.
Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960.
Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa Waziri mkuu mwenye asili ya india na wa kwanza kushika madaraka hayo makubwa nchini Uingereza.
Acha uboya kina Dewji familia yao ilihamia hapa miaka ya 1800's kutoka Gujarati, vivo hivo kina Karimjee. Sasa utasemaje leo kina Mwamedi Dewji sio watanzania wakati wamezaliwa hapa na wengekua hawana pesa hata India wasingewai fika!Ulishaona mtanzania mhindi??? hao wahamiaji tu, ni sawa na mtu mweusi kujiita ni muingereza hapana ni muafrika tuu. Kwahio huyu ni mhindi na hajazaliwa Tanzania pia. Kwa kifupi haijui hata hio Tanzania ilipo,.
Jibu liko wazi kabisa!Hili linawezekana nchi za Afrika?