Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Wewe ndio pimbii haswa hao ni watanzania kwenye makatasi tu na wakienda nje wanajulikana ni wahindi. Na kwa kukazia hao ulowataja wote wana passport mbili mbili za Tz na Canada/USA/UK...acha upimbi hao sio wenzako .Acha uboya kina Dewji familia yao ilihamia hapa miaka ya 1800's kutoka Gujarati, vivo hivo kina Karimjee. Sasa utasemaje leo kina Mwamedi Dewji sio watanzania wakati wamezaliwa hapa na wengekua hawana pesa hata India wasingewai fika!
Alizaliwa Tanzania?
Unamanisha nini ana unasaba na Tanzania?
Inawezekana akawa na ndugu Posta
Huyu mhindi, acheni upotoshaji eti ana nasaba ya Tanzania. Watanzania wa kuzaliwa waturutumbi mnawanyima uraia pacha mnajidai huyu mhindi ni ana nasaba ya Tanzania... Kazaliwa Uingereza ni muingereza mwenye asili ya India....period.
Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.
View attachment 2396584
Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980.
Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960.
Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa Waziri mkuu mwenye asili ya india na wa kwanza kushika madaraka hayo makubwa nchini Uingereza.
Huyo jamaa ni Muingereza mwenye asili ya India. Sidhani kama Tanzania inahusika kwa lolote na uraia/asili yake.
Amesema wazazi walihamia uingereza wakitokea tz mnamo miaka ya 60 huko na jamaa amezaliwa miqka ya 80 huko uingeleza soma vizuriπ€£Alizaliwa Tanzania?
Unamanisha nini ana unasaba na Tanzania?
Inawezekana akawa na ndugu Posta
wazazi wake ni wenye asili ya India,walihamia Uingereza miaka ya 60' wakitokea Afrika mashariki...huenda bas ikawa Tanzania...Huyo jamaa ni Muingereza mwenye asili ya India. Sidhani kama Tanzania inahusika kwa lolote na uraia/asili yake.
Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.
View attachment 2396584
Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980.
Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960.
Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa Waziri mkuu mwenye asili ya india na wa kwanza kushika madaraka hayo makubwa nchini Uingereza.
Wewe Dalmine weweeeeUingereza hata Maghayo wakimpa anaweza mbona π
Nilipoona Tanzania nimechekaa kwa hiyo ndugu yetu [emoji23][emoji23]
Lazima tutafute undugu hata wa vizazi vilivyopita ili tujigambe, unajua tuna Genes za kujipendekeza toka kitambo
Hahaha subutuHili linawezekana nchi za Afrika?
[emoji23][emoji23][emoji23] huwa nacheka sana nikiona Tz imeingizwa na kenya wana tabia hiyo hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha subutu
We angalia tu Bashe na Kinana ndio wazawa ila kutwa kusemwa
Afrika wanaangalia kubebana na sio IQ
Wenzetu wanaangalia je anatufaa kwa manufaa na maslahi ya Taifa?
Kweli mwanzo system ilimkataa na akapachikwa asieweza kazi kabisa
Maana kulikuwa na chokochoko kuhusu familia yake pia huyu Sunak
Eti leo kawa PM ndio kawa mTz
Acheni unafiki nyie
Hivi leo kwa mfano Rostam awe PM mtakubali?
Obama alipokuwa Rais wakenya wakasema eti wameula [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
SongeaSouthampton iko wapi Tanzania?
π π π kwa hiyo kwa taarifa hii Wakenya (tena nasikia ni mjaluo) wameshinda kwa kutawala mataifa makubwa wamebakisha Vatican tuWazazi wake ni Kenya Baba na Mama Ni Tanzania