Huyu hapa anayetazamiwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza mwenye Asili ya Asia

Huyu hapa anayetazamiwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza mwenye Asili ya Asia

Acha uboya kina Dewji familia yao ilihamia hapa miaka ya 1800's kutoka Gujarati, vivo hivo kina Karimjee. Sasa utasemaje leo kina Mwamedi Dewji sio watanzania wakati wamezaliwa hapa na wengekua hawana pesa hata India wasingewai fika!
Wewe ndio pimbii haswa hao ni watanzania kwenye makatasi tu na wakienda nje wanajulikana ni wahindi. Na kwa kukazia hao ulowataja wote wana passport mbili mbili za Tz na Canada/USA/UK...acha upimbi hao sio wenzako .
 
Huyu mhindi, acheni upotoshaji eti ana nasaba ya Tanzania. Watanzania wa kuzaliwa waturutumbi mnawanyima uraia pacha mnajidai huyu mhindi ni ana nasaba ya Tanzania... Kazaliwa Uingereza ni muingereza mwenye asili ya India....period.

Watanzania kwa kujikomba
 
Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.
View attachment 2396584

Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980.

Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960.

Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa Waziri mkuu mwenye asili ya india na wa kwanza kushika madaraka hayo makubwa nchini Uingereza.

Wazazi wake walioana mmoja kutoka Tanzania na mwanaume kutoka Kenya!

Sunak was born on 12 May 1980 in Southampton to African-born Hindu parents of Punjabi Indian descent, Yashvir and Usha Sunak. He is the eldest of three siblings. His father was born and raised in the Colony and Protectorate of Kenya (present-day Kenya), while his mother was born in Tanganyika (which later became part of Tanzania). His grandfathers were born in Punjab province, British India, and migrated from East Africa with their families to the UK in the 1960s. His paternal grandfather, Ramdas Sunak, was from Gujranwala (in present-day Pakistan) and moved to Nairobi in 1935 to work as a clerk, where he was joined by his wife Suhag Rani Sunak from Delhi in 1937. His maternal grandfather, Raghubir Sain Berry MBE, worked in Tanganyika as a tax official, and had an arranged marriage with 16-year-old Tanganyika-born Sraksha, with whom he had three children, and the family moved to UK in 1966, funded by Sraksha selling her wedding jewellery. In Britain, Raghubir Berry joined the Inland Revenue, and as a collector, was appointed a Member of the Order of the British Empire (MBE) in the 1988 Birthday Honours list. Yashvir was a general practitioner, and Usha was a pharmacist, who ran a local pharmacy.
 
Huyo jamaa ni Muingereza mwenye asili ya India. Sidhani kama Tanzania inahusika kwa lolote na uraia/asili yake.

Wewe ulitaka Tanzania ihusike kwa lipi? Yeye kakupa historia yake, ulifikiri labda Tanzania itakwenda kujikomba kwake?
 
Huyo jamaa ni Muingereza mwenye asili ya India. Sidhani kama Tanzania inahusika kwa lolote na uraia/asili yake.
wazazi wake ni wenye asili ya India,walihamia Uingereza miaka ya 60' wakitokea Afrika mashariki...huenda bas ikawa Tanzania...
according to wikipedia.
 
Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.
View attachment 2396584

Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980.

Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960.

Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa Waziri mkuu mwenye asili ya india na wa kwanza kushika madaraka hayo makubwa nchini Uingereza.

Uingereza hata Maghayo wakimpa anaweza mbona 😁
 
Msiwe kama odinga alietaka kupeleka wazee wakumfundisha kijaluo obama
 
Lazima tutafute undugu hata wa vizazi vilivyopita ili tujigambe, unajua tuna Genes za kujipendekeza toka kitambo

[emoji23][emoji23][emoji23] huwa nacheka sana nikiona Tz imeingizwa na kenya wana tabia hiyo hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili linawezekana nchi za Afrika?
Hahaha subutu
We angalia tu Bashe na Kinana ndio wazawa ila kutwa kusemwa

Afrika wanaangalia kubebana na sio IQ
Wenzetu wanaangalia je anatufaa kwa manufaa na maslahi ya Taifa?

Kweli mwanzo system ilimkataa na akapachikwa asieweza kazi kabisa
Maana kulikuwa na chokochoko kuhusu familia yake pia huyu Sunak

Eti leo kawa PM ndio kawa mTz

Acheni unafiki nyie
Hivi leo kwa mfano Rostam awe PM mtakubali?
Obama alipokuwa Rais wakenya wakasema eti wameula [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huwa nacheka sana nikiona Tz imeingizwa na kenya wana tabia hiyo hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]

Yule mshindi wa Noble prize nae hadi kaalikwa eti tunajivunia mambo ya ajabu sana,
 
Hahaha subutu
We angalia tu Bashe na Kinana ndio wazawa ila kutwa kusemwa

Afrika wanaangalia kubebana na sio IQ
Wenzetu wanaangalia je anatufaa kwa manufaa na maslahi ya Taifa?

Kweli mwanzo system ilimkataa na akapachikwa asieweza kazi kabisa
Maana kulikuwa na chokochoko kuhusu familia yake pia huyu Sunak

Eti leo kawa PM ndio kawa mTz

Acheni unafiki nyie
Hivi leo kwa mfano Rostam awe PM mtakubali?
Obama alipokuwa Rais wakenya wakasema eti wameula [emoji1] [emoji1787] [emoji23]

Waliambulia manyoya walikesha kushangilia ushindi wiki nzima kosa wangekua wanapumzika na kulala tu,
 
Kwahiyo mama na Baba yake wanatokea kenya na Tanzania sasa kwa maana hiyo Babu na Bibi yake bado tunao huku kwetu au imekaaje?
 
Tunasubiri aunde team yake sasa
Naona Nadhim Zahawi atapata uwaziri
Maana Sunak kasema ataweka wenye talent haya tusubiri safu yake

Na
 
Wazazi wake ni Kenya Baba na Mama Ni Tanzania
😀 😀 😀 kwa hiyo kwa taarifa hii Wakenya (tena nasikia ni mjaluo) wameshinda kwa kutawala mataifa makubwa wamebakisha Vatican tu
 
Back
Top Bottom