The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Angekua Bongo angeambiwa wewe ni Muhindi na kwenu ni India ila kwa vile yupo UK na kapata cheo tunamuona ni mwenzetu..! Maajabu haya.Angekuwa yupo tz saa hizi ana duka kariakoo pale. Kuna sehemu kuwepo ni fursa kubwa, chama angezaliwa spain asingekuja kucheza soka tz
Mkuu hao kina Mo wanaitwa ni watanzania wenye asili ya India,yaani Origin yao ni India,kinacho angaliwa hapo ni Roots,hata kama umezaliwa Tz ila utafahamika kua Mtz mwenye origin ya India.Wewe ndio pimbii haswa hao ni watanzania kwenye makatasi tu na wakienda nje wanajulikana ni wahindi. Na kwa kukazia hao ulowataja wote wana passport mbili mbili za Tz na Canada/USA/UK...acha upimbi hao sio wenzako .
Ni unafiki tu
Uraia pacha hawajui faida yake
Sisi kila kitu tunaogopa tulisharogwa
Ukipita karibu na Ikulu unapigwa, ukipita kambi ya jeshi unapigwa
Ukidhihaki kiongozi unakufa
Taboo kila kitu
Yaani unakuta tumechangia hoja kuhusu silaha zetu
Jamaa anasema tuheshimu jeshi tusiliseme
Yaani hapa ukiuliza kwanini hawataki dual utaambiwa usalama wa nchi [emoji1]
Boris ni Mmarekani / [emoji636]
Farmajo ni [emoji631]/ [emoji1220]
Kwa unafiki hawajamboAngekua Bongo angeambiwa wewe ni Muhindi na kwenu ni India ila kwa vile yupo UK na kapata cheo tunamuona ni mwenzetu..! Maajabu haya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaweza kumaliza muhula wake ila kwenye uchaguzi wakaweka mwingineAtajiuzulu ndani ya mwaka mmoja
Aliekuwa Waziri Mkuu kuanzia 1945 mpaka 1950 Clement R Attlee alisema kabisa yeye haamini dini kabisaWaziri mkuu lazima awe muanglikana, sijui itakuwaje
Huyu mhindi, acheni upotoshaji eti ana nasaba ya Tanzania. Watanzania wa kuzaliwa waturutumbi mnawanyima uraia pacha mnajidai huyu mhindi ni ana nasaba ya Tanzania... Kazaliwa Uingereza ni muingereza mwenye asili ya India....period.
Amezaliwa 1980Alizaliwa Tanzania?
Unamanisha nini ana unasaba na Tanzania?
Inawezekana akawa na ndugu Posta
Kukataa uraia pacha bongo ni woga wa kisiasa hakuna kingine.
Kama angekuwa chama tawala akawa anaunga mkono juhudi angekuwa mzalendo, balaa lingekuja kama angekuwa mpingaji.. Hapo lazima aulizwe cheti cha kuzaliwa bibi yake mzaa baba yake😂Angekua Bongo angeambiwa wewe ni Muhindi na kwenu ni India ila kwa vile yupo UK na kapata cheo tunamuona ni mwenzetu..! Maajabu haya.
🤣🤣🤣🤣
Baba alizaliwa Kenya na Mama yake TanganyikaAmezaliwa 1980
Wazazi wake wamezaliwa Tanzania
Ni upumbavu tu, nchi ya techno phone hii hamna lolote, wenzetu wanazidi kupaa juu
[emoji38] [emoji23] haswaKama angekuwa chama tawala akawa anaunga mkono juhudi angekuwa mzalendo, balaa lingekuja kama angekuwa mpingaji.. Hapo lazima aulizwe cheti cha kuzaliwa bibi yake mzaa baba yake[emoji23]
Indus bhana kemchooiAcha Ubishi wewe Wazazi wake wakiume ni Mkenya na Wakike ni Mtanzania wa Tanganyika
Mh, umeandika nini hapa!!!???Waangalie yeti na zenji yasije wakawakuta hapa.
Hiiiiiiii !
Mh, umeandika nini hapa!!!???
Izo passport uliwapa wewe? Kuna wahindi wapo sikonge na igunga uko hawajawai fika hata daresalama hapa wamezaliwa huko wameishi huko miaka bukuWewe ndio pimbii haswa hao ni watanzania kwenye makatasi tu na wakienda nje wanajulikana ni wahindi. Na kwa kukazia hao ulowataja wote wana passport mbili mbili za Tz na Canada/USA/UK...acha upimbi hao sio wenzako .
Wewe ndio pimbii haswa hao ni watanzania kwenye makatasi tu na wakienda nje wanajulikana ni wahindi. Na kwa kukazia hao ulowataja wote wana passport mbili mbili za Tz na Canada/USA/UK...acha upimbi hao sio wenzako .
OkWaangalie yeti na zenji yasije wakawakuta hapa.
Hiiiiiiii !