Huyu hapa anayetazamiwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza mwenye Asili ya Asia

Huyu hapa anayetazamiwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza mwenye Asili ya Asia

Wewe ndio pimbii haswa hao ni watanzania kwenye makatasi tu na wakienda nje wanajulikana ni wahindi. Na kwa kukazia hao ulowataja wote wana passport mbili mbili za Tz na Canada/USA/UK...acha upimbi hao sio wenzako .
Mkuu hao kina Mo wanaitwa ni watanzania wenye asili ya India,yaani Origin yao ni India,kinacho angaliwa hapo ni Roots,hata kama umezaliwa Tz ila utafahamika kua Mtz mwenye origin ya India.
 
Ni unafiki tu
Uraia pacha hawajui faida yake
Sisi kila kitu tunaogopa tulisharogwa
Ukipita karibu na Ikulu unapigwa, ukipita kambi ya jeshi unapigwa
Ukidhihaki kiongozi unakufa

Taboo kila kitu
Yaani unakuta tumechangia hoja kuhusu silaha zetu
Jamaa anasema tuheshimu jeshi tusiliseme

Yaani hapa ukiuliza kwanini hawataki dual utaambiwa usalama wa nchi [emoji1]

Boris ni Mmarekani / [emoji636]
Farmajo ni [emoji631]/ [emoji1220]

Nchi ya kipumbavu sana hii. Hawataki kabisa uraia pacha ila mtu kama huyu PM mpya wa UK, mchezaji mpira kama Yusuph wa kule Denmark na watu wengine wanaopata platform kubwa wakianza kusikika tu mitanganyik inaanza shobo wakati hawa watu hawajazaliwa kabisa bongo let alone kufika tu huko.
 
Atajiuzulu ndani ya mwaka mmoja
Anaweza kumaliza muhula wake ila kwenye uchaguzi wakaweka mwingine
Inategemea
Halafu jamaa ana hela ndefu ni Waziri mkuu mwenye chapaa kuwazidi wote waliomtangulia
Na ana hela kumzidi King Charles na Camilla wake FACT halina ubishi

Baba yake na mke wa Sunak ni tajiri wa Sita India
 
Hela zipo kwao
Screenshot_20221024-191904_Chrome.jpg
 
Waziri mkuu lazima awe muanglikana, sijui itakuwaje
Aliekuwa Waziri Mkuu kuanzia 1945 mpaka 1950 Clement R Attlee alisema kabisa yeye haamini dini kabisa
Na alikuwa PM na baadae kuwa kiongozi wa Chama cha Labour
 
Huyu mhindi, acheni upotoshaji eti ana nasaba ya Tanzania. Watanzania wa kuzaliwa waturutumbi mnawanyima uraia pacha mnajidai huyu mhindi ni ana nasaba ya Tanzania... Kazaliwa Uingereza ni muingereza mwenye asili ya India....period.

Alizaliwa Tanzania?
Unamanisha nini ana unasaba na Tanzania?
Inawezekana akawa na ndugu Posta
Amezaliwa 1980

Wazazi wake wamezaliwa Tanzania
Kukataa uraia pacha bongo ni woga wa kisiasa hakuna kingine.

Ni upumbavu tu, nchi ya techno phone hii hamna lolote, wenzetu wanazidi kupaa juu
 
Angekua Bongo angeambiwa wewe ni Muhindi na kwenu ni India ila kwa vile yupo UK na kapata cheo tunamuona ni mwenzetu..! Maajabu haya.

🤣🤣🤣🤣
Kama angekuwa chama tawala akawa anaunga mkono juhudi angekuwa mzalendo, balaa lingekuja kama angekuwa mpingaji.. Hapo lazima aulizwe cheti cha kuzaliwa bibi yake mzaa baba yake😂
 
Kama angekuwa chama tawala akawa anaunga mkono juhudi angekuwa mzalendo, balaa lingekuja kama angekuwa mpingaji.. Hapo lazima aulizwe cheti cha kuzaliwa bibi yake mzaa baba yake[emoji23]
[emoji38] [emoji23] haswa
Kwa kuongezea tu
Rishi aliposhindwa na Liz na sasa kurudi tena na kuwa PM halafu Diwali sikukuu yao

Sasa ingekuwa afrika wangesema kamroga Liz na uchawi umetengenezwa awe PM sikukuu [emoji1] [emoji1787] ingawa bado hajawa PM
 
Mh, umeandika nini hapa!!!???

Nimeandika hiviii waangalie ya kijiti SA alipokiachia Fredericko. Ndiyo basi tena.

Nikakazia: Ole wake mweusi huko naye aje kujichanganya kibongo bongo.

Habari ndiyo hiyo.
 
Wewe ndio pimbii haswa hao ni watanzania kwenye makatasi tu na wakienda nje wanajulikana ni wahindi. Na kwa kukazia hao ulowataja wote wana passport mbili mbili za Tz na Canada/USA/UK...acha upimbi hao sio wenzako .
Izo passport uliwapa wewe? Kuna wahindi wapo sikonge na igunga uko hawajawai fika hata daresalama hapa wamezaliwa huko wameishi huko miaka buku
Wewe ndio pimbii haswa hao ni watanzania kwenye makatasi tu na wakienda nje wanajulikana ni wahindi. Na kwa kukazia hao ulowataja wote wana passport mbili mbili za Tz na Canada/USA/UK...acha upimbi hao sio wenzako .
 
Back
Top Bottom