Huyu Hapa January Makamba Nje Ya Siasa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Umeelewa alichoandika lakini? ukitafasiri kwa kiswani nitakunya wiki nzima bila kupumzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…