Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mbunge hata akipost yupo na wanawe hiyo ni sehemu ya kampeni ya kisiasa kujionesha kuwa yeye ni baba bora.Naamanisha nje ya majukumu ya siasa pia yupo karibu na familia yake na wanae na kuwasaidia katika kila hatua ikiwa ni pamoja na kuwatia moyo na kuwapatia upendo wa baba.badala ya muda wote kuwa mbali na watoto pamoja na kutowapatia nafasi kama Baba mzazi ya kuwasikiliza.
Mbona akija kukaa na mahawara zake huku hajiposti kujionesha yeye anaruka nje ya ndoa yaje?