Huyu Hapa January Makamba Nje Ya Siasa

Huyu Hapa January Makamba Nje Ya Siasa

IMG_5563.jpeg
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3101067

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyo January mbunge, utasemaje yuko nje ya siasa?

Hiyo picha yenyewe ni kampeni ya kujinadi kisiasa kwamba yeye ni baba bora, anasomesha binti yake, binti anajielewa vizuri, anasoma masomo ya afya.

Huelewi kuwa hii ni siasa pia?
 
Huyo January mbunge, utasemaje yuko nje ya siasa?

Hiyo picha yenyewe ni kampeni ya kujinadi kisiasa kwamba yeye ni baba bora, anasomesha binti yake, binti anajielewa vizuri, anasoma masomo ya tiba.

Huelewi kuwa hii ni siasa pia?
Kwa hiyo ulitaka aseme Bintiye anasomea ufundi cherehani wakati ukweli ni kuwa anasomea Udaktari?
 
Unasemaje mtu yuko nje ya siasa wakati bado ni mbunge?
Naamanisha nje ya majukumu ya siasa pia yupo karibu na familia yake na wanae na kuwasaidia katika kila hatua ikiwa ni pamoja na kuwatia moyo na kuwapatia upendo wa baba.badala ya muda wote kuwa mbali na watoto pamoja na kutowapatia nafasi kama Baba mzazi ya kuwasikiliza.
 
Back
Top Bottom