Mbunge hata akipost yupo na wanawe hiyo ni sehemu ya kampeni ya kisiasa kujionesha kuwa yeye ni baba bora.Naamanisha nje ya majukumu ya siasa pia yupo karibu na familia yake na wanae na kuwasaidia katika kila hatua ikiwa ni pamoja na kuwatia moyo na kuwapatia upendo wa baba.badala ya muda wote kuwa mbali na watoto pamoja na kutowapatia nafasi kama Baba mzazi ya kuwasikiliza.
Hayo ni mawazo yako yasiyo na ukweli.Mbunge hata akipost yupo na wanawe hiyo ni sehemu ya kampeni ya kisiasa kujionesha kuwa yeye ni baba bora.
Mbona akija kukaa na mahawara zake huku hajiposti kujionesha yeye anaruka nje ya ndoa yaje?
Yapi sasa ni mawazo yangu, umejuaje ni mawazo yangu na umejuaje hayana ukweli?Hayo ni mawazo yako yasiyo na ukweli.
We mjinga kweli, kuomba unisaidie ndiyo unisimange?Endelea kubaki na ujinga wako mpaka uwe na adabu kwa kaka zako.
Anaonyesha mfano mzuri na upendo kama Baba kwa mwanae na kumsaidia kutimiza malengo yake.
Hakuna maisha mazuri kama hayo. Walio huko siasani ni mateso matupu.Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3101067
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nawe tutumie picha basi ukiwa na mwanaoAnaonyesha mfano mzuri na upendo kama Baba kwa mwanae na kumsaidia kutimiza malengo yake.
🤣🤣🤣😟🙌Tuwe makini na January Makamba yuko kimya sana usikute anatafuta mteja wa kumuuzia mlima kilimanjaro
Mwambie wifi yako ephen😀😀Nawe tutumie picha basi ukiwa na mwanao