Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

Vya msingi mkuu ni kufanya ibada na kutoa zaka. Uwe na utu,uwatendee wema wazazi wako na watu wengine,Usizini,Usiseme uongo,acha roho mbaya na unafiki.

Kuchukia wavaa kobazi, Waarabu, Wachina au kuwasema vibaya wasioamini unachoamini sio ibada, zaidi unajipa stress! Wala hupati upako!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Ata kumchukia mdudu ni dhambi sabu hujamuumba wew
 
Nimemiss kitimoto baada ya kuona hii post
 
Kukosa elimu kula nguruwe ni haramu haibadiliki hata Yesu hakula huyo mdudu japo walikuwa wengi, kweny kumbukumbu alitupilia mbali mapepo kwa nguruwe .

Kama unakula nguruwe basi unaweza kula binadamu mwenzako ,utafiti binadamu na nguruwe wapo group moja wanafanana kila kitu mfano ulaji wa vyakula (Maji na nyama) wote wanakula ,bado nguruwe anaingia period kama binadamuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Imekatazwa kula nguruwe ila lazima mtaje watu fulani kweny mada zenu ,uchokozi wapakwa mafuta.
 
Huyo mnyama simpendi hata kidogo, ni mchafu balaa... hv nyie mnaokula nguruwe mnaakili kweli?

Kwenye kupandikizwa Figo, sawa ila hiyo nayo imesababishwa na kumuendekeza kumla yaani anawaharibu Figo kwanza af mnapandikizwa yake, 🀣
 
Tena nguruwe kamzidi binadam yeye anafakamia chochote tu, kalaaniwa huyo mnyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…