Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

"Huyu mnyama amekuwa akizengenywa sana Na kuzingiziwa magonjwa mengi Lkn bado anadunda na kunennepa"
🤣
 
Udini utawauwa, uharamu wa nguruwe kwenye kula, kwa imani ya baadhi ya watu wasile nguruwe labda itokee sehemu hakuna menu kabisa, ruksa kugonga.

Mkojo,kinyesi ni najisi, lakini vikiwa tumboni huko mtu anaingia navyo kwenye ibada fresh tu.
Nguo ikiwa kabatini au kwenye kamba ni sehemu sahihi ila ikiwa juu ya chakula ni uchafu.

Jitahidini muwe huru kwenye kuchambua mambo, hizi tabia za udini udini zimeanzia mitandaoni, watu wanakashfiana na kutukanana, itafikia hatua mambo yatakuwa hadharani, ni hatua mbaya mnoo.
 
Duh! Naimagine the way atavoreact mutu yaile dini nyingine aambiwe anawekewa figo ya nguruwe sipati picha kabisa!
Inapendeza sana

Cc Smart911
Kinachokatizwa ni kula nguruwe,kwa nyama kuwa na maradhi,na minyoo ambayo kufa,inataka ipikwe kwa mda mrefu.Na kupandikiza kiungo,sio kosa,kwasababu hata viungo vya binadamu,vinapandikizwa,lakini binadamu ni haramu kumla.
 
Uganda hawajamdharau

Screenshot_2024-04-01-11-54-08-1.png
 
Huyu mnyama anapigwa Vita Sana huko saud Arabia ila amekuwa na moyo wa kipee kwani hivi karibuni huko marekani amepandikizwa mtu Figo ya nguruwe baada ya Figo ya awali ya binadamu kufeli ndipo madaktari wakapandikiza Figo ya nguruwe na Sasa mgonjwa amepona na anaendele vzr tu

Natoa Rai kwa serekali yetu ya mama Samia kuwa na recordi za mnyama huyu interm of idada Yao kwa kila mkoa na ielekeze bajeti kubwa kukabiliana na magonjwa yanayo kabili sector hyo muhimu

Huyu mnyama amekuwa akizengenywa sana Na kuzingiziwa magonjwa mengi Lkn bado anadunda na kunennepa

Kwa taarifa nilizo nazo Ni kuwa watu laki 100,000 wanamatatizo ya Figo nchi marekani wanasubiri upandikizaji
View attachment 2954497View attachment 2954498
Nguruwe ni mnyama aliyekatazwa kuuliwa kwa kuliwa hata kutumikishwa kutokana na uasili wake, hivyo kama ikiwa anaweza kutoa msaada kwa wenye kutaka msaada wa nguruwe ni ruksa, imani za watu wengine ziheshimiwe. ziheshimiwe.
 
Hii ndio Ile baniani mbaya, kiatu chake dawa
 
Yule mnyama ni kweli amelaaniwa ona hata waomla akili zao zimepea
 
Huyu mnyama anapigwa Vita Sana huko saud Arabia ila amekuwa na moyo wa kipee kwani hivi karibuni huko marekani amepandikizwa mtu Figo ya nguruwe baada ya Figo ya awali ya binadamu kufeli ndipo madaktari wakapandikiza Figo ya nguruwe na Sasa mgonjwa amepona na anaendele vzr tu

Natoa Rai kwa serekali yetu ya mama Samia kuwa na recordi za mnyama huyu interm of idada Yao kwa kila mkoa na ielekeze bajeti kubwa kukabiliana na magonjwa yanayo kabili sector hyo muhimu

Huyu mnyama amekuwa akizengenywa sana Na kuzingiziwa magonjwa mengi Lkn bado anadunda na kunennepa

Kwa taarifa nilizo nazo Ni kuwa watu laki 100,000 wanamatatizo ya Figo nchi marekani wanasubiri upandikizaji
View attachment 2954497View attachment 2954498

Wewe jua tu; tissues za Nguruwe na organs za Nguruwe zinafanana kwa kiasi kikubwa na Binadam kuliko wanyama wengine wote..... Nguruwe anapata hadi period!
Mengine utaunganisha mwenyewe.
Kuna siri kubwa kwa nini Waislam hawali hiyo kitu...wewe pambana!!!
 
Nyuzi ya kushonewa na kuozea ndani baada ya operation hutengenezwa na misuli ya Tendons na ile ya shingoni mwa mdudu.
Huwa najiuliza which is which? Ufanyiwe operation ushonwe na nyuzi za mnyama au ufe
Siku hizi wanatumia za mabondo ya samaki sangara pia
 
Back
Top Bottom