Huyu hapa ndiye Paul Christian Makonda mwamba wa Kaskazini

WOte hata Ccm ila aisee nawaogopa sana CHADEMA SIO utani eti naombaga Mungu wasishike uongozi tutavurugwa hadi tuwe ombaomba au vitani bora hata wazalendo sijui act wazalendo . Chadema wanageukana wenyewe kwa wenyewe utazania madalali wa ukoo
CHADEMA ni kigenge cha wachumia tumbo na madalali wa kisiasa.
 
Wanaroho mbaya sana watu hawajawajua wanaona oyeee oyee jiulize haya mambo yakuandamana watoto wao wapo??
Wao wanafanya kazi ya kuwatoa watoto wa watu kama kafara halafu wanawapiga picha ili wakaombee pesa kwa wazungu huko ulaya na kuja kuzitafuna kama mchwa.
 
Hakuna mwamba wa kaskazini ananyashi huyu ni muhuni alievamia clouds fm
 
Ama kweli ameona amfurahishe mama yake kwa kuvaa kiarabu, dah uchawa wa watanzania umezidi.
Kama umeumia na kushikwa na wivu nakushauri na wewe kavae uwafurahishe wanao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama umeumia na kushikwa na wivu nakushauri na wewe kavae uwafurahishe wanao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hizi siasa za kijinga sana na hazina faida yoyote isipokuwa kwa mtu mpuuzi kutaka kujilambisha kwa wakubwa, ni ujinga.
 
Wewe mama wivu umekushinda nenda na wewe uvae ili uwafurahishe wanao.
Ndio maana hujaweza kuwa na aibu kwa ujinga huu wa kitaifa upo hivyo wee endelea tu na mambo haya kumbe akili zako bado sana. Pengine ukikua utaacha.
 
Shetani Mtu anaposifiwa!
 
Ukifuatilia IDs zinazomchukia Makonda ni wachaga watupu...

Nilitegemea achukiwe na maasai na wameru maana ndio haswaa wenye mkoa wao, why Chaga...

Makonda aliwafanya nini?
 
Wanasiasa wengi ni wanafiki. Amemaanisha nn. Uarabu au dini ya kiislamu? Anajua hata alif?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…