Huyu hapa ndiye Paul Christian Makonda mwamba wa Kaskazini

Huyu hapa ndiye Paul Christian Makonda mwamba wa Kaskazini

Ukifuatilia IDs zinazomchukia Makonda ni wachaga watupu...

Nilitegemea achukiwe na maasai na wameru maana ndio haswaa wenye mkoa wao, why Chaga...

Makonda aliwafanya nini?
Hata mm namchukia ni mnyakyusa tangu alipompiga Mzee Warioba
 
Mwamba wa kaskazini tunamjua Joh Makini peke yake, huyo unayemsema unamjua wewe 😂
 
Back
Top Bottom