Huyu jamaa kazaliwa South Africa matendo yake yanafanana na tabia za Kiafrika

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe Wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalum hadi kufikia Nov. 17, 2022 jioni

Musk amesema "Ili kwenda mbele, kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na kufanikiwa katika Ulimwengu unaozidi kuwa na ushindani, tutahitaji kuwa wagumu sana, hii itamaanisha saa nyingi kwa nguvu ya juu."

Musk amesema yeyote atakayeshindwa kwenda sawa na masharti yake mapya kazini ajiandae kuondolewa kazini ila atapata malipo
 
Twitter ilikuwa inatumia $ 400 kwaajili ya msosi kwa kila mfanyakazi wake kila siku, yaani mfanyakazi mmoja anakula laki 9 za kibongo per day kwenye makao makuu yao huko California.

Elon Musk baada ya kuuondoa huu ujinga anaoenekana mmbaya!

Kuna mfanyakazi wake mwingine amejibizana/bishana nae mtandaoni akafukuzwa kazi on the spot, bado watu wanamuona mmbaya wakati kiuhalisia huwezi kubishana na boss mitandaoni .
 
Jamaa hovyo tu. Kuna wakati ma engineers na wasomi kwenye Tesla na SpaceX hawakupendezwa na tabia yake ya kutweet hovyo hovyo Twitter wakaandika waraka kulalamika anawaibisha pamoja na kampuni jamaa eti akamind akawafukuza
 
Hao Engineers yanawahusu nini ?

Yaani umuingilie boss wako uhuru wake wake wa kutoa maoni which is a constitutional right halafu utegemee ubaki salama !
 
Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe Wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalum hadi kufikia Nov. 17, 2022 jioni

Musk amesema "Ili kwenda mbele, kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na kufanikiwa katika Ulimwengu unaozidi kuwa na ushindani, tutahitaji kuwa wagumu sana, hii itamaanisha saa nyingi kwa nguvu ya juu."

Musk amesema yeyote atakayeshindwa kwenda sawa na masharti yake mapya kazini ajiandae kuondolewa kazini ila atapata malipo
Musk said "To move forward, to build on the success of Twitter 2.0 and succeed in an increasingly competitive world, we will need to be very tough, this will mean many hours at a high intensity.
 
Twitter ilikuwa inatumia $ 400 kwaajili ya msosi kwa kila mfanyakazi wake kila siku, yaani mfanyakazi mmoja anakula laki 9 za kibongo per day kwenye makao makuu yao huko California.

Elon Musk baada ya kuuondoa huu ujinga anaoenekana mmbaya!

Kuna mfanyakazi wake mwingine amejibizana/bishana nae mtandaoni akafukuzwa kazi on the spot, bado watu wanamuona mmbaya wakati kiuhalisia huwezi kubishana na boss mitandaoni .
Marekani watu wana uhuru wao na wanajitambua, bosi akilianzisha mtandaoni watu wanalimaliza.

Na ukiwa na ujuzi unaweza kuacha kazi leo ndani ya wiki ukapata kazi nzuri zaidi.

Kwa hivyo hakuna utii wa kikondoo. Elon Musk kawapa watu ultimatum, watu wanaacha kazi Twitter. Wengi wanaobaki ni watu ambao Twitter ime wa sponsor US visa zao.

Kuhusu hiyo figure ya $400 watu wamemzodoa kwamba Elon Musk ni muongo.

Hao Engineers yanawahusu nini ?

Yaani umuingilie boss wako uhuru wake wake wa kutoa maoni which is a constitutional right halafu utegemee ubaki salama !
Watu wanajali ukweli.

Watu wanajali haki.

Watu wanajali reputations zao.

Ukiwa bosi huruhusiwi kusema uongo, hususan uongo ambao utafanya engineer aonekane hafanyi kazi yake vizuri.

Ukidanganya anakurekebisha tu bila kujali wewe ni bosi wake.

Teknolojia haitaki nidhamu ya woga.

Server ikiwa na tatizo halafu bosi anadanganya, tatizo haliogopi bosi.
 
Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe Wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalum hadi kufikia Nov. 17, 2022 jioni

Musk amesema "Ili kwenda mbele, kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na kufanikiwa katika Ulimwengu unaozidi kuwa na ushindani, tutahitaji kuwa wagumu sana, hii itamaanisha saa nyingi kwa nguvu ya juu."

Musk amesema yeyote atakayeshindwa kwenda sawa na masharti yake mapya kazini ajiandae kuondolewa kazini ila atapata malipo
Uafrika wake ni upi hapo?
 
Elon ni mtu alo-achive vitu ambavyo wengi walidhan haviwezekani, so njia zake hata kama hazifurahishi basi mwisho wa siku huleta matokeo chanya.

Mfano issue ya reusable rockets hadi geeks kwenye hio field walikua wanampinga lkn leo tunaona alipofikia.

Personally naona elon kama anakosea lkn nadhan naona hvo coz akili yangu haijafikia uwezo wa kuona na kufikiri kama wake, the same goes kwa wote wanaoona jamaa anakosea
 
Lazima waheshimu maamuzi yake,yeye ndio mmiliki kwa sasa,kwahiyo wachague moja kufanya kazi au kuacha...
Wengi wanaacha. Leo Ijumaa mpaka j'tatu, ofisi zimefungwa kupisha hayo mabadiliko ya wanaoondoka na wanaobaki wajipange vipi.
 
Elon ni mtu alo-achive vitu ambavyo wengi walidhan haviwezekani, so njia zake hata kama hazifurahishi basi mwisho wa siku huleta matokeo chanya.

Mfano issue ya reusable rockets hadi geeks kwenye hio field walikua wanampinga lkn leo tunaona alipofikia.

Personally naona elon kama anakosea lkn nadhan naona hvo coz akili yangu haijafikia uwezo wa kuona na kufikiri kama wake, the same goes kwa wote wanaoona jamaa anakosea
Yeap na uyu mwamba ni next level kabisa kwa sasa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Africa mfanyakazi anafanya kazi Massa 8 mpaka 10 na waajiri wengine lile lisaa LA break hawahesabu sasa kule wenzetu Massa ya kazi ni 4 mpaka 6 ndio maana nikasema huyu jamaa ni muafricanisty pure...
 
Binafsi kwa kuheshimu alipotoka mpaka leo aljpofika huyu jamaa Elon Musk ni wazi hajafika kibahati mbaya so atakuwa anajua anachokitaka kwa wafanyakazi wake na matokeo yake pia ame yakonsider
 
Elon musk akiwa rais wa tz atafukuza kila mtu 😂😂😂. Ataanza kuajiri upyaaaaaaa

Sera yake itakuwa "Tunaanza upyaaaaaaaaaaaaaaa"
Sasa hiyo sera si inakaribiana na ile ya jeshi la mtu mmoja!.
 
Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe Wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalum hadi kufikia Nov. 17, 2022 jioni

Musk amesema "Ili kwenda mbele, kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na kufanikiwa katika Ulimwengu unaozidi kuwa na ushindani, tutahitaji kuwa wagumu sana, hii itamaanisha saa nyingi kwa nguvu ya juu."

Musk amesema yeyote atakayeshindwa kwenda sawa na masharti yake mapya kazini ajiandae kuondolewa kazini ila atapata malipo
...Sasa Matendo yake yanafanana vipi na Tabia za Kiafrika?
Kwa kuwaambia Watu waongeze bidii kufanya Kazi ama Sivyo Wachape Lapa ???
Waafrika hatujazoe kuambiwa Ukweli!
 
Elon ni mtu alo-achive vitu ambavyo wengi walidhan haviwezekani, so njia zake hata kama hazifurahishi basi mwisho wa siku huleta matokeo chanya.

Mfano issue ya reusable rockets hadi geeks kwenye hio field walikua wanampinga lkn leo tunaona alipofikia.

Personally naona elon kama anakosea lkn nadhan naona hvo coz akili yangu haijafikia uwezo wa kuona na kufikiri kama wake, the same goes kwa wote wanaoona jamaa anakosea
Hahah, inawezekana upo sahihi kabisa..mtu mwenye uelewa flan akifanya kotu ikiwa una low level unamuona jamaa chizi, na sio kwake tu hata sisi kuna vitu unafanya dogo uliyemzidi kufikiria anaona bloo, miyeyusho..anakubali badaee
 
Back
Top Bottom