Huyu jamaa kazaliwa South Africa matendo yake yanafanana na tabia za Kiafrika

Huyu jamaa kazaliwa South Africa matendo yake yanafanana na tabia za Kiafrika

Africa mfanyakazi anafanya kazi Massa 8 mpaka 10 na waajiri wengine lile lisaa LA break hawahesabu sasa kule wenzetu Massa ya kazi ni 4 mpaka 6 ndio maana nikasema huyu jamaa ni muafricanisty pure...
...Una Hakika? Na Michael Jackson alipoimba kuhusu 'That Nine to Five Job' ( Saa Tatu Hadi Saa Kumi a Moja) Alikuwa anamaanisha Nini?
 
...Una Hakika? Na Michael Jackson alipoimba kuhusu 'That Nine to Five Job' ( Saa Tatu Hadi Saa Kumi a Moja) Alikuwa anamaanisha Nini?
Naongelea professional sio kubeba box
 
Baba yake Elon Musk alikuwa tajiri bwanyenye akimiliki migodi ya almasi katika Africa Kusini ya utawala wa Makaburu.
Elon Musk ni wa ki"sure" sana.
Binafsi kwa kuheshimu alipotoka mpaka leo aljpofika huyu jamaa Elon Musk ni wazi hajafika kibahati mbaya so atakuwa anajua anachokitaka kwa wafanyakazi wake na matokeo yake pia ame yakonsider
 
Twitter ilikuwa inatumia $ 400 kwaajili ya msosi kwa kila mfanyakazi wake kila siku, yaani mfanyakazi mmoja anakula laki 9 za kibongo per day kwenye makao makuu yao huko California.

Elon Musk baada ya kuuondoa huu ujinga anaoenekana mmbaya!

Kuna mfanyakazi wake mwingine amejibizana/bishana nae mtandaoni akafukuzwa kazi on the spot, bado watu wanamuona mmbaya wakati kiuhalisia huwezi kubishana na boss mitandaoni .
Yaani mtu mmoja ale Dollar 400 chakula per day? Amekuwa dinasour?
 
Back
Top Bottom