Jamaa hovyo tu. Kuna wakati ma engineers na wasomi kwenye Tesla na SpaceX hawakupendezwa na tabia yake ya kutweet hovyo hovyo Twitter wakaandika waraka kulalamika anawaibisha pamoja na kampuni jamaa eti akamind akawafukuzaTwitter ilikuwa inatumia $ 400 kwaajili ya msosi kwa kila mfanyakazi wake kila siku, yaani mfanyakazi mmoja anakula laki 9 za kibongo per day kwenye makao makuu yao huko California.
Elon Musk baada ya kuuondoa huu ujinga anaoenekana mmbaya!
Kuna mfanyakazi wake mwingine amejibizana/bishana nae mtandaoni akafukuzwa kazi on the spot, bado watu wanamuona mmbaya wakati kiuhalisia huwezi kubishana na boss mitandaoni .
Hao Engineers yanawahusu nini ?Jamaa hovyo tu. Kuna wakati ma engineers na wasomi kwenye Tesla na SpaceX hawakupendezwa na tabia yake ya kutweet hovyo hovyo Twitter wakaandika waraka kulalamika anawaibisha pamoja na kampuni jamaa eti akamind akawafukuza
Musk said "To move forward, to build on the success of Twitter 2.0 and succeed in an increasingly competitive world, we will need to be very tough, this will mean many hours at a high intensity.Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe Wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalum hadi kufikia Nov. 17, 2022 jioni
Musk amesema "Ili kwenda mbele, kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na kufanikiwa katika Ulimwengu unaozidi kuwa na ushindani, tutahitaji kuwa wagumu sana, hii itamaanisha saa nyingi kwa nguvu ya juu."
Musk amesema yeyote atakayeshindwa kwenda sawa na masharti yake mapya kazini ajiandae kuondolewa kazini ila atapata malipo
Marekani watu wana uhuru wao na wanajitambua, bosi akilianzisha mtandaoni watu wanalimaliza.Twitter ilikuwa inatumia $ 400 kwaajili ya msosi kwa kila mfanyakazi wake kila siku, yaani mfanyakazi mmoja anakula laki 9 za kibongo per day kwenye makao makuu yao huko California.
Elon Musk baada ya kuuondoa huu ujinga anaoenekana mmbaya!
Kuna mfanyakazi wake mwingine amejibizana/bishana nae mtandaoni akafukuzwa kazi on the spot, bado watu wanamuona mmbaya wakati kiuhalisia huwezi kubishana na boss mitandaoni .
Watu wanajali ukweli.Hao Engineers yanawahusu nini ?
Yaani umuingilie boss wako uhuru wake wake wa kutoa maoni which is a constitutional right halafu utegemee ubaki salama !
Uafrika wake ni upi hapo?Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe Wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalum hadi kufikia Nov. 17, 2022 jioni
Musk amesema "Ili kwenda mbele, kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na kufanikiwa katika Ulimwengu unaozidi kuwa na ushindani, tutahitaji kuwa wagumu sana, hii itamaanisha saa nyingi kwa nguvu ya juu."
Musk amesema yeyote atakayeshindwa kwenda sawa na masharti yake mapya kazini ajiandae kuondolewa kazini ila atapata malipo
Wengi wanaacha. Leo Ijumaa mpaka j'tatu, ofisi zimefungwa kupisha hayo mabadiliko ya wanaoondoka na wanaobaki wajipange vipi.Lazima waheshimu maamuzi yake,yeye ndio mmiliki kwa sasa,kwahiyo wachague moja kufanya kazi au kuacha...
Yeap na uyu mwamba ni next level kabisa kwa sasaElon ni mtu alo-achive vitu ambavyo wengi walidhan haviwezekani, so njia zake hata kama hazifurahishi basi mwisho wa siku huleta matokeo chanya.
Mfano issue ya reusable rockets hadi geeks kwenye hio field walikua wanampinga lkn leo tunaona alipofikia.
Personally naona elon kama anakosea lkn nadhan naona hvo coz akili yangu haijafikia uwezo wa kuona na kufikiri kama wake, the same goes kwa wote wanaoona jamaa anakosea
Sasa hiyo sera si inakaribiana na ile ya jeshi la mtu mmoja!.Elon musk akiwa rais wa tz atafukuza kila mtu πππ. Ataanza kuajiri upyaaaaaaa
Sera yake itakuwa "Tunaanza upyaaaaaaaaaaaaaaa"
...Sasa Matendo yake yanafanana vipi na Tabia za Kiafrika?Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe Wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalum hadi kufikia Nov. 17, 2022 jioni
Musk amesema "Ili kwenda mbele, kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na kufanikiwa katika Ulimwengu unaozidi kuwa na ushindani, tutahitaji kuwa wagumu sana, hii itamaanisha saa nyingi kwa nguvu ya juu."
Musk amesema yeyote atakayeshindwa kwenda sawa na masharti yake mapya kazini ajiandae kuondolewa kazini ila atapata malipo
Hahah, inawezekana upo sahihi kabisa..mtu mwenye uelewa flan akifanya kotu ikiwa una low level unamuona jamaa chizi, na sio kwake tu hata sisi kuna vitu unafanya dogo uliyemzidi kufikiria anaona bloo, miyeyusho..anakubali badaeeElon ni mtu alo-achive vitu ambavyo wengi walidhan haviwezekani, so njia zake hata kama hazifurahishi basi mwisho wa siku huleta matokeo chanya.