Huyu jamaa ndo the best Mwanasheria/Wakili wa Serikali???? Sasa mbona hata kuongea tu ni shida?

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
habari zenu Tanzania? nipo Netherlands nawasalimia sana. Huyu jamaa anayeonekana kwenye Mahakama ndo Mwanasheria/ Wakili Mkuu wa Serikali? mbona anaonekana mzito sana hata kuchambua mambo na kujieleza? hawa watu wanachaguliwa kwa namna gani ? na bado hayupo vizuri katika sheria namwona ana hangaika hangaika tu na kuongea ki layman.

serikali iwe inachagua watu wenye uwezo katika mambo muhimu kama haya.
 
Sote tunashangaa ndugu
 
Kama huyo wa serikali yuko hivyo je waliobakia wakoje.
 
habari zenu Tanzania? nipo Netherlands nawasalimia sana. Huyu jamaa anayeonekana kwenye Mahakama ndo Mwanasheria/ Wakili Mkuu wa Serikali? mbona anaonekana mzito sana hata kuchambua mambo na kujieleza? hawa watu wanachaguliwa kwa namna gani ? na bado hayupo vizuri katika sheria namwona ana hangaika hangaika tu na kuongea ki layman.

serikali iwe inachagua watu wenye uwezo katika mambo muhimu kama haya.
Ajira za maelekezo hizo
 
We unamshangaa huyo ila humshangai Kibatala na wenzake aaliofukuzwa na Lissu baada ya kuona wanamzingua?
Ilikuwa hakuna haja ya kutumia wanasheria ambao Hana mawasiliano nao hakuwa anaruhusiwa kuwasiliana nao kwa faragha, (it was one of the delaying tactics), mbinu ya kupoteza muda, (buying time)
 
Wakili mzuri sio wingi wa maneno, wakili anaweza kujibu hoja zako kwa sentensi moja tu au asijibu kabisa akaiachia Mahakama, hapo ujue umeongea pumba na mashudu

Watu wengi wasio na akili hukimbilia ajira za erikali maana huko hawaangalii uwezo, bali ni ndugu ya nani au ameletwa na nani.
 
Back
Top Bottom