Huyu jamaa ndo the best Mwanasheria/Wakili wa Serikali???? Sasa mbona hata kuongea tu ni shida?

Huyu jamaa ndo the best Mwanasheria/Wakili wa Serikali???? Sasa mbona hata kuongea tu ni shida?

We unamshangaa huyo ila humshangai Kibatala na wenzake aaliofukuzwa na Lissu baada ya kuona wanamzingua?
Hawajafukuzwa; ni namna ya kujipanga. Wapo pamoja. Hujawaona mahakamani. Lisu kusimama yeye kama yeye ina uzito wake, wewe huuoni?
 
Kusita sita kwake anasoma maelekezo ya ''kutoka juu'' Usione mawakili wa serikali wachache pale kuna group la watu zaidi ya mia wametulia sehemu wakitupia hoja jamaa azitoe pale. Ndio maana jicho muda wote anatupia kwa laptop, na yule anayefuatia akisimamia mtiririko wa data wasipotezane!
 
Wakili mzuri sio wingi wa maneno, wakili anaweza kujibu hoja zako kwa sentensi moja tu au asijibu kabisa akaiachia Mahakama, hapo ujue umeongea pumba na mashudu
Mahakama haikupi kitu ambacho hujaiomba.

Wakili mzuri lazima a argue law au facts ili kuishawishi mahakama iamue kwa faida ya upande wake.

Ukweli ni kwamba hata layman akimfuatilia State Attorney Katuga anaona kabisa hayupo vizuri kwenye masuala ya sheria.
 
Mahakama haikupi kitu ambacho hujaiomba.

Wakili mzuri lazima afanye argue law au facts ili kuishawishi mahakama iamue kwa faida ya upande wake.

Ukweli ni kwamba hata layman akimfuatilia State Attorney Katuga anaona kabisa hayupo vizuri kwenye masuala ya sheria.
Huyo nas katuga nanjuwa vzr na naweza kusema ni mshakj!
Kiukweli hayuko vzr na kama serikali ina mawakili dizaini hizi
Basi wategeme maumivu zaidi
Kwenye kesi za kimataifa

Ova
 
Unamaanisha huyu?😶🤣🤣🤣Eti na yy kaacha mke nyumbani kbsa utopolo huyu
 

Attachments

  • Screenshot_20250701_110720_YouTube.jpg
    Screenshot_20250701_110720_YouTube.jpg
    219.7 KB · Views: 17
Mahakama haikupi kitu ambacho hujaiomba.

Wakili mzuri lazima a argue law au facts ili kuishawishi mahakama iamue kwa faida ya upande wake.

Ukweli ni kwamba hata layman akimfuatilia State Attorney Katuga anaona kabisa hayupo vizuri kwenye masuala ya sheria.
sio kwa kesi hii. Hakuna kazi ngumu kama kutetea kesi ya uongo/mchongo. Pale kajitahidi sana
 
Back
Top Bottom