Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Sote tunashangaa nduguhabari zenu Tanzania? nipo Netherlands nawasalimia sana. Huyu jamaa anayeonekana kwenye Mahakama ndo Mwanasheria/ Wakili Mkuu wa Serikali? mbona anaonekana mzito sana hata kuchambua mambo na kujieleza? hawa watu wanachaguliwa kwa namna gani ? na bado hayupo vizuri katika sheria namwona ana hangaika hangaika tu na kuongea ki layman.
serikali iwe inachagua watu wenye uwezo katika mambo muhimu kama haya.
We unamshangaa huyo ila humshangai Kibatala na wenzake aaliofukuzwa na Lissu baada ya kuona wanamzingua?Sote tunashangaa ndugu
Wakili mzuri sio wingi wa maneno, wakili anaweza kujibu hoja zako kwa sentensi moja tu au asijibu kabisa akaiachia Mahakama, hapo ujue umeongea pumba na mashudu
Aliamua kujitetea mwenyewe kwakuwa hakuwa akipata muda huru wa kuzungumzia kesi yeye na mawakili wake. Hawakumzingua Mkuu na wala hakuwafukuza.We unamshangaa huyo ila humshangai Kibatala na wenzake aaliofukuzwa na Lissu baada ya kuona wanamzingua?
Kama huyo wa serikali yuko hivyo je waliobakia wakoje.habari zenu Tanzania? nipo Netherlands nawasalimia sana. Huyu jamaa anayeonekana kwenye Mahakama ndo Mwanasheria/ Wakili Mkuu wa Serikali? mbona anaonekana mzito sana hata kuchambua mambo na kujieleza? hawa watu wanachaguliwa kwa namna gani ? na bado hayupo vizuri katika sheria namwona ana hangaika hangaika tu na kuongea ki layman.
serikali iwe inachagua watu wenye uwezo katika mambo muhimu kama haya.
Ahahahahaha!!Aliamua kujitetea mwenyewe kwakuwa hakuwa akipata muda huru wa kuzungumzia kesi yeye na mawakili wake. Hawakumzingua Mkuu na wala hakuwafukuza.
Hasa ukizingatia ukweli kwamba hata yeye mwenyewe wakili anajua kabisa hapa natetea waovu, na nipo hapa kumkandamiza raia mwema kabisa.Wakili mzuri sio wingi wa maneno, wakili anaweza kujibu hoja zako kwa sentensi moja tu au asijibu kabisa akaiachia Mahakama, hapo ujue umeongea pumba na mashudu
Ajira za maelekezo hizohabari zenu Tanzania? nipo Netherlands nawasalimia sana. Huyu jamaa anayeonekana kwenye Mahakama ndo Mwanasheria/ Wakili Mkuu wa Serikali? mbona anaonekana mzito sana hata kuchambua mambo na kujieleza? hawa watu wanachaguliwa kwa namna gani ? na bado hayupo vizuri katika sheria namwona ana hangaika hangaika tu na kuongea ki layman.
serikali iwe inachagua watu wenye uwezo katika mambo muhimu kama haya.
Ilikuwa hakuna haja ya kutumia wanasheria ambao Hana mawasiliano nao hakuwa anaruhusiwa kuwasiliana nao kwa faragha, (it was one of the delaying tactics), mbinu ya kupoteza muda, (buying time)We unamshangaa huyo ila humshangai Kibatala na wenzake aaliofukuzwa na Lissu baada ya kuona wanamzingua?
Kwenye sheria jua ingredients/elements za kifungu cha sheriaHasa ukizingatia ukweli kwamba hata yeye mwenyewe wakili anajua kabisa hapa natetea waovu, na nipo hapa kumkandamiza raia mwema kabisa.
Wakili mzuri sio wingi wa maneno, wakili anaweza kujibu hoja zako kwa sentensi moja tu au asijibu kabisa akaiachia Mahakama, hapo ujue umeongea pumba na mashudu