Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Hawajafukuzwa; ni namna ya kujipanga. Wapo pamoja. Hujawaona mahakamani. Lisu kusimama yeye kama yeye ina uzito wake, wewe huuoni?We unamshangaa huyo ila humshangai Kibatala na wenzake aaliofukuzwa na Lissu baada ya kuona wanamzingua?
Mahakama haikupi kitu ambacho hujaiomba.Wakili mzuri sio wingi wa maneno, wakili anaweza kujibu hoja zako kwa sentensi moja tu au asijibu kabisa akaiachia Mahakama, hapo ujue umeongea pumba na mashudu
Huyo nas katuga nanjuwa vzr na naweza kusema ni mshakj!Mahakama haikupi kitu ambacho hujaiomba.
Wakili mzuri lazima afanye argue law au facts ili kuishawishi mahakama iamue kwa faida ya upande wake.
Ukweli ni kwamba hata layman akimfuatilia State Attorney Katuga anaona kabisa hayupo vizuri kwenye masuala ya sheria.
Diploma? labda CertificateNdivyo ulivyojifunza huko kwenye Diploma yako ya Bwana shamba?
Naunga mkono hojaAchukue fomu ya ubunge ambayo ndio kazi rahisi kusninda zote
Nimecheka!!.Ndivyo ulivyojifunza huko kwenye Diploma yako ya Bwana shamba?
sio kwa kesi hii. Hakuna kazi ngumu kama kutetea kesi ya uongo/mchongo. Pale kajitahidi sanaMahakama haikupi kitu ambacho hujaiomba.
Wakili mzuri lazima a argue law au facts ili kuishawishi mahakama iamue kwa faida ya upande wake.
Ukweli ni kwamba hata layman akimfuatilia State Attorney Katuga anaona kabisa hayupo vizuri kwenye masuala ya sheria.
Ficha ujinga we mat***ko wewe.unakua mjinga mjinga kwenye mambo ya maana.Kwenye sheria jua ingredients/elements za kifungu cha sheria