halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,096
- 5,254
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nyimbo moja ya joh makini,anaimba dunga utawaua,afu mwenyewe anamalizia na "my condolences",hatari sana huyu jamaaHuyu jamaa huwa anaweka "vionjo" vitamu sana kwenye nyimbo, sijui kwanini asifanye kama DJ KHALID ??
Hata mimi ni msikilizaji tu, ila enzi zetu ilikuwa ukisikia wimbo una biti kali tu basi utataka kumjua mpaka producerKwahiyo na sisi ambao sio wasanii bali ni wasikilizaji tu tunapaswa kuwajua producers ?
Albamu ya kwanza ya Mr.II inaitwaje? Na amerekodia studio ipi?Ukipatia hapo nitakubali kwamba we umeanza kufuatilia bongo fleva kitamboMkuu me nimenza kufuatilia long sana tangu enzi za KU CREW ila kutomjua mtu ambaye haimbi sio kosa
Ila namkubali sana jamaa, hana show off za kijinga wala kujiskia kama producer wengine, yuko simple manHuyo ni AMBROSE DUNGA, almaarufu PRODUCER DUNGA kutoka MANDUGU DIGITAL.
Ni bonge la producer na nyimbo zake nyingi ambazo huwa anaproduce mara nyingi hutokea na kwenye video pia.
Kama Wewe Ni Muhenga Kweli Unakosaje Kumjua DUNGA kutoka MANDUGU DIGITAL nayeye ndiye aliyemfundisha uproducer RAMAR from FISH CRABMkuu me nimenza kufuatilia long sana tangu enzi za KU CREW ila kutomjua mtu ambaye haimbi sio kosa
Dah umenihuzunisha sana ......huyo ni Ambrose dunga moja ya watarishaji midundo mahiri sana na pia amehusika kutengeneza sauti ndani ya nyimbo nyingi sanaHuyu jamaa ni nani anayeuza sura karibu kila video lazima atokee???
Nakumbuka tangu miaka ya mwanzoni ya 2000s huwa anatokea karibu nyimbo zote zilizohit kwa wakati huo na sikuwahi kujiuliza ni nani ila nilifanya mazoea tu kumuona kila hit track enzi hizo
Me namfananisha na Harmorapa nikijua naye huwa anatafuta kiki tu🙂🙂🙂🙂
Sasa hata miaka hii katika nyimbo ya chege nayo katokea![]()
![]()
View attachment 563236
View attachment 563240
View attachment 563251
Wanaomjua watuambie huyu jamaa ni nani hasa?
khaa unafuatilia mzki muda mrefu ivo humfahamu ambrose dunga,,huyo ni producer kipind iko 41 record katengeneza hits nyingi mno.ndo alipotokea producer lamar pia kwenye studio yakeHuyu jamaa ni nani anayeuza sura karibu kila video lazima atokee???
Nakumbuka tangu miaka ya mwanzoni ya 2000s huwa anatokea karibu nyimbo zote zilizohit kwa wakati huo na sikuwahi kujiuliza ni nani ila nilifanya mazoea tu kumuona kila hit track enzi hizo
Me namfananisha na Harmorapa nikijua naye huwa anatafuta kiki tu🙂🙂🙂🙂
Sasa hata miaka hii katika nyimbo ya chege nayo katokea![]()
![]()
View attachment 563236
View attachment 563240
View attachment 563251
Wanaomjua watuambie huyu jamaa ni nani hasa?
TAFUTA NYIMBO HIZI ILI UMJUE
NAKAAYA - MR PRESIDENT
NGWAIR FT DARK MASTER NIPENI DILI MASELA
LANGA - MATAWI YA JUU
AY & FA - HABARI NDO HIYO
JOAH MAKINI - CHOCHOTE POPOTE
MWISHO: ENZU HUYU JAMAA ALIKUWA PRODUCER MKALI SANA KABLA YAKUWA MANDUGU DIGITAL AMESHAWAIKUWA KATIKA STUDIO YA KAMA KAWA RECORD