Mtu Kati
Member
- Jan 12, 2017
- 33
- 54
Nahisi kwa zone yetu hii ni ngumu kidogo coz sheria ya mikataba bado haieleweki vizuri na wasanii wenyewe kuna kipindi DJ Choka aliwahi kujaribu lakini akaishia njianiHuyu jamaa huwa anaweka "vionjo" vitamu sana kwenye nyimbo, sijui kwanini asifanye kama DJ KHALID ??
Sent using Jamii Forums mobile app