Huyu jamaa ni nani anayeuza sura karibu kila video lazima atokee

Huyu jamaa ni nani anayeuza sura karibu kila video lazima atokee

Mi si MKOROFI ila nataka athibitishe uhenga wake kwenye Bongo Fleva, maana sisi kipindi tunaufuatilia ulikuwa unaitwa muziki wa KIHUNI
Ni enzi za Diplomatz ama za Kwanza Unit (Kwanzanians)?
 
Hili swali limejibiwa kiuhalisia zaidi.....na wachangiaji....labda mwanzisha Uzi huu tunaomba sababu za kimantiki kutaka tumtambue dunga kuwa Ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0.jpg
Nipeni kura zenu,nipatieni.
 
Dunga alitoa hit song moja na naakaya Mr politician

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijaribu kupitia maoni ya watu utaona wanasema nyimbo ya nakaaya ni mr president sasa najiuliza mr president au mr politician?? au nakaaya katoa nyimbo mpya?? hawa wahenga wa JF mzaha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


tembajr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunga wa mandugu Dig, bonge la producer

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa ni nani anayeuza sura karibu kila video lazima atokee???

Nakumbuka tangu miaka ya mwanzoni ya 2000s huwa anatokea karibu nyimbo zote zilizohit kwa wakati huo na sikuwahi kujiuliza ni nani ila nilifanya mazoea tu kumuona kila hit track enzi hizo

Me namfananisha na Harmorapa nikijua naye huwa anatafuta kiki tu🙂🙂🙂🙂

Sasa hata miaka hii katika nyimbo ya chege nayo katokea
1f602.png
1f602.png


View attachment 563236
View attachment 563240
View attachment 563251

Wanaomjua watuambie huyu jamaa ni nani hasa?


Huyu si baba yake Ally Kiba enzi zile, mdingi katoka mbali sana na sasa kawaachia mzigo wanawe japo mmoja ni fake.
 
Shida ya mtoa mada ameonesha kumpondea huku anahitaji ufafanuzi. Binafsi kumsema dunga anatafuta Kiki na kumfananisha na HRapa haja mtendea haki.
Amwombe msamaa au utuombe msamaha wadau wa bongo freva.
 
Back
Top Bottom