Huyu jamaa ni nani anayeuza sura karibu kila video lazima atokee

Dunga , Raia wa Kenya

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni AMBROSE DUNGA, almaarufu PRODUCER DUNGA kutoka MANDUGU DIGITAL.

Ni bonge la producer na nyimbo zake nyingi ambazo huwa anaproduce mara nyingi hutokea na kwenye video pia.
 
Huyo ni Ambrose Dunga, kama utakumbuka nyimbo nyingi za East Coast, lady jaydee, Nakaaya, zamani kipindi hicho yeye ndio alikuwa producer pale Mandugu DigitAll

Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni AMBROSE DUNGA, almaarufu PRODUCER DUNGA kutoka MANDUGU DIGITAL.

Ni bonge la producer na nyimbo zake nyingi ambazo huwa anaproduce mara nyingi hutokea na kwenye video pia.
Ila namkubali sana jamaa, hana show off za kijinga wala kujiskia kama producer wengine, yuko simple man

Jamii Forums mobile app
 
Dah umenihuzunisha sana ......huyo ni Ambrose dunga moja ya watarishaji midundo mahiri sana na pia amehusika kutengeneza sauti ndani ya nyimbo nyingi sana
 
TAFUTA NYIMBO HIZI ILI UMJUE

NAKAAYA - MR PRESIDENT

NGWAIR FT DARK MASTER NIPENI DILI MASELA

LANGA - MATAWI YA JUU

AY & FA - HABARI NDO HIYO

JOAH MAKINI - CHOCHOTE POPOTE


MWISHO: ENZU HUYU JAMAA ALIKUWA PRODUCER MKALI SANA KABLA YAKUWA MANDUGU DIGITAL AMESHAWAIKUWA KATIKA STUDIO YA KAMA KAWA RECORD
 
khaa unafuatilia mzki muda mrefu ivo humfahamu ambrose dunga,,huyo ni producer kipind iko 41 record katengeneza hits nyingi mno.ndo alipotokea producer lamar pia kwenye studio yake
 

Habari Ndio hiyo. Amefanya Hermy B.

Kama sijakosea
 
Dunga mwenyewe huyo hatafuti kiki ila anatafta tiki

acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…